CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Hi Guys,

Ninataka kufuatilia hiyo mechi ya vijana wetu na nifanikiwa kuingia kwenye link lakini sijui baada ya hapo kipi kinapashwa kuendelea. Please toa maelekezo kamili ili tuweze kuingia na kufuatilia.

Cheers, na Mungu ibariki timu yetu!!!!

Tiba
 
Does not work hapa kwangu hii link!

contact your ISP, nafikiri itkuwa speed ya net yako ni ndogo, Ila wamekata na wanatuonesha ngoma za kisenegali sasa. Tunasubiri TZ V Sen lazima waoneshe hii ni broadcast toka kwao
 
Zambia safi wachezaji hawana kusuka manywele dalili ya watu wenye heshima zao na wanajua nini wanafanya Zambia 3 wenyeji yai full time
 
Kutokana na blog ya michuzi Tanzania Itacheza baada ya mechi hii. Kwa hiyo Stars bado hawajaanza kucheza nafikiri wataanza saa moja kuanzia sasa
 
walionyesha uwanjani kwa mbali then wamerudi kwenye ngoma zao, nadhani game bado halijaanza kwa hiyo tusubiri wadau.
 
Kilakshari,

Natanguliza shukrani kwa msaada wako. Na hii ndio inanifanya niipende JF kupita kiasi. Hata hivyo may be ni kwa sababu ya upeo wangu mdogo kwenye mambo ya ICT lakini ninachokipata ni-click kwenye hiyo link sio mechi wala hizo ngoma za kitamaduni.

Kama ninastahili msaada zaidi, naomba tafadhali au inawezekana kuna some sort of limitations kwenye eneo nililopo.

Tafadhali msinichoke, nikutafuta kuiona hiyo mechi ndio kunanisumbua.

Cheers,

Tiba
 
Hivi kelele na vurugu zote wanazofanya, halafu wanapigwa bao, wanaondokaje uwanjani vile...vichwa chini au?!? Wananistaajabisha sana....
 
Kaka Mwaza

Hii kitu bado kaput!

Dah kazi unayo mkulu wangu, ngoja nitafute vyanzo vingine....maana mimi naona bomba tu...sijui wanaroga nini hivi sasa...kwanza wachafuuuu, pili wanaongea lugha ya ajabu, tatu, chenga tutawala na kuwafunga tutawafunga!
 
Back
Top Bottom