AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 17
Mungu ibariki taifa stars leo na ktk mechi zote ili turudi na kombe letu inshaallah
.....A, soka ni mchezo wa makosa...siku zote matokeo huwa yanashangaza sana hasa pale zile timu zenye majina zinapochza na hao underdogs kama Tz. Jambo kubwa inatakiwa wachezaji wetu wajitambue kuwa wamekwenda ivory coast kufanya nini? Pili watambue opportunity zinazoweza kujitokeza kwa wao kufanya vizuri. Sasa hivi hata mawakala wanaotafuta wachezaji wa kulipwa wamekuwa na mtazamo wa kwenda mbali zaidi mpaka kwenye nchi zisizo na majina kwani wanaamini kuna talents.Kwa sasa hatuzungumzi tena maandalizi kwani tayari tupo uwanja wa mapambano, let we discuss what should be done now while we are in the front line fighting pitch? Kwani kale kamsemo ng'ombe hanenepi siku ya mnada, kama tulijianda vema, yes we can wadau. Otherwise tutaonyesha vituko huko,
Mungu ibariki Taifa stars
Mungu ibariki taifa stars leo na ktk mechi zote ili turudi na kombe letu inshaallah
Wadau ni channel gani tutaona hiyo mechi ya ufunguzi na mechi yetu na wamandingo?
kuna online channel yeyote?
naomba link ndugu
sasa hivi ni sherehe za ufunguzi,kuna tv moja ya inatwa RTS1 ndo inaonesha live.ila inabidi net yako iwe fast kama kiaina kama ya kwangu hapo!kama unatatizo jinsi ya kuipata uliza faster