Cesar: Mourinho's reputation 'scares' opponentsNatabiri
innter inashinda kombe hili.
Kama inter hawatashinda basi naomba mod aniban kwa siku nne .
Mwakani sisi Man Utd tunataka kuweka rekodi, FA ndani ya wembley, Carling cup wembley, Champions ligi 2011 ndani ya wembley itakuwa second time hapo wembley ktk uefa champs ligi baada ya 1968 tuliwafunga kina eusebio na benfica yake,ni bobby....QUOTE]
Yes you can.....in your dreams ofcourse
Wapenda soccer wote tunasubiria final hapo Madrid. Mechi hii huenda ikachezeshwa na refarii wa kiingereza Mr Howard Webb.
Nampenda Mourhino ila sifurahii mafanikio yake
My prediction goes for Bayen especially with the tricks of Robben on the wing and the prolific finishing of their striker Olic. Ila Inter Milan wana defense nzuri sana wakitangulia basi mechi itakwisha 1-0. Ila Bayen wakitangulia basi mechi itakwisha 2-1
Timu zote hizi zimekuwa na mafanikio kwenye nchi zao zote nimewin double kama Chelsea in England....nani kati yao atachukua kikombe cha tatu?
Wakuu wengine tujadiliane
Masanilo kweli mna haki ya kuongea msimu huu chelsea,yani kwenu 1st time kuwa double winners mnajihesabu na nyie mna mafanikio kama bayern na inter,lol ila unajua nottingham forest ina rekodi nzuri kuliko nyie japo ipo second division yani ukishuka ktk cocacola! poa lakini hongereni ni mafanikio yenu na london kwa ujumla mana champions league bado halijatua hapo na mwaka ujao final wembley,tusubiri tuone! mana wasiwasi wangu roman hakawii kufukuza kocha akikosa champions ligi msimu ujao.
viva man utd
red devils chama kubwa!
man u 4 life
Mkuu bado masaa na si siku kadhaa tena na si mda zitabaki dakika kadhaa.Hapa nipo full na chupa kadhaa za kilevi nikipendacho ili kunogesha ladha ya game..Wadau mmelala?
Mkuu nipo sasa itabidi Masanilo awe shahidi kuhusu bet yetu.....wakati wa mechi nitakuwa kimya sana, si unaju huku kwetu komputa mbali kidogo na TV....so tutaonana after mechi, na nitamuandikia mods kama utashindwa kwenye bet hiii...all the bestNimekusoma Ba'Mkubwa..niko tayari, je mods wakikataa ban sababu ya bet yetu tufanyaje kwa dau lingine? Mie waniban hiyo j3+j4 tukishindwa! Countdown umeona, mechi ni kesho...naomba uwepo jukwaani tusipoteane!!
Bayern Bingwa...............hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Bayern Bingwa...............hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu nipo sasa itabidi Masanilo awe shahidi kuhusu bet yetu.....wakati wa mechi nitakuwa kimya sana, si unaju huku kwetu komputa mbali kidogo na TV....so tutaonana after mechi, na nitamuandikia mods kama utashindwa kwenye bet hiii...all the best
Pamoja sana mkuu.The NAZI are going down..Go Eto'o fils