Champions Legue Final - Bayen Munich VS Inter Milan- Count down

Naisupport Inter Milan ingawa game ya final ni ngumu sana but Mourirho katengeneza defence ya ukweli game itakuwa na nafasi chache but in presence of Schneider,Zanetti,Maicon,Cesar,Samuel,
Lucio-atakutana na timu yake ya zamani
Milito-huyu jamaa ni mviziaji kwelikweli ananikumbusha Ruud Van Nistelrooy
Msisahau na SAMUEL ETOO yeye kazi yake kufunga kwenye fainali
 
itakuwa gemu ya hovyo haswa kwa sababu ya Inter watapaki bus na kusubiria nafasi mbili tatu za kona, free kick au counter attack. Napenda Inter ichukue thanks to African contingent Eto'o, Mariga, Muntari, Baloteli na Maicon.

Forza Nezzazuri.

Masahihisho kidogo mkubwa MAICON ni full back kutoka Brazil-BEST FULL BACK RIGHT baada ya CAFU kustaafu
FORZA NERRAZURI
 
Inter inabidi wawe makini sana na Arjen Robben na Ivica Olic...............Hawa jamaa wako vizuri sana mwaka huu
 
Sina sababu ya msingi ila dua zangu na nyota zinaonyesha Bayern Munichen 1- Internazionale Milan 0.
Goli litafungwa na Olic kipindi cha pili. Maurinho atapigwa na butwaa! Etoo atalia sana.

Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwatabiria.
 
Alikabwa MESSI,XAVI sidhani kama Roben na Olic watafurukuta.Robben atakabidhiwa Cambiaso,OLIC atapewa LUCIO/SAMUEL.Tatizo kubwa la Bayern defence yao ni mbovu ukilinganisha na Inter ,Diego Milito kazi yake ni kuvizia beki wa Bayern wakishangaa Inter wanashinda kirahisi
 
Viva Internasionale.... Viva Masimo Morati.... Viva Josee Mourinho..... Viva Kenya
Viva "Mathare".... Viva AFRICA......... BRAVOO mwanaAfrika na mashariki Mc Donald MALLIGA!
 
Viva Internasionale.... Viva Masimo Morati.... Viva Josee Mourinho..... Viva Kenya
Viva "Mathare".... Viva AFRICA......... BRAVOO mwanaAfrika na mashariki Mc Donald MALLIGA!

Mkuu umeweka uzalendo mbele...vipi angekuwa Chuji hapo!!
 
Mkuu umeweka uzalendo mbele...vipi angekuwa Chuji hapo!!
Angekuwa Chuji hapo hawa kandambili tungewakoma.
Manake ingekuwa ndio kama vile Yanga yeboyebo Vs Bayern Munich!
Nakumbuka tulivowakoga Nonda Shaaban alivyosajiliwa Monaco.
 
Hii ni mechi kubwa ila sitakuwa na presha kabisaa wakati naangalia, atakayeshinda sawa tu..Bayern nawahisi wanaweza win!!
 
Jose Mourhino anasema CL final is more important than world cup huyu jamaa is arrogant sijawahi kuona!
 
Eti Darasa la nne tulisoma XXXL = 35 au 80? Sikumbuki mkuu, naomba ufafanuwe umempa thanks ya XXXL unamanisha nini? umezihesabu....ngoja na mimi nihesabu nilizokupa

Hahahahah bwana mwache Mzenji wangu Belinda J XXXL ni 80 kwa lugha za kiyunani maana yake is very large number......upo?
 
Hahahahah bwana mwache Mzenji wangu Belinda J XXXL ni 80 kwa lugha za kiyunani maana yake is very large number......upo?
Duuh, kweli mkuu umedhamilia....80!....kuna wimbo unaimbwa...kila kona, watu kibao...ukienda jukwaa hili watu kibao>>>> sijui kama Belinda anafahamu hilo.....Eti Inter 3 na Baye 1? Siku hiyo naailisha kila kitu, hata mbagala siendi....lol
 
Pole kaka nitakuwa naagalia mpira kichwa changu kikiwa juu ya mto! what a romantic final
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom