mwakani sisi man utd tunataka kuweka rekodi,fa ndani ya wembley,carling cup wembley,champions ligi 2011 ndani ya wembley itakuwa second time hapo wembley ktk uefa champs ligi baada ya 1968 tuliwafunga kina eusebio na benfica yake,ni bobby charton,halafu na ligi ya barclays english tuweke rekodi mpya 19,jumamosi 22 mei, mechi ngumu makocha wote wana uzoefu yani hata barca angemfunga inter bado kazi alikuwa anayo kwa bayern,na nadhani kwa bayern ingekuwa rahisi mechi ya barca kuliko inter,mechi itakuwa ngumu mana wamekutana ,makocha wote wenye ujanjaujanja na tecnnics za mpira,man utd hii hii mnaidharau ila mwakani ni jihad tu kujituma tutamshawishi fergie aongeze fowadi mwingine eg villa asaidiane na kina rooney,hernandez mpya huyu na berbatov/berbatop/berbashop yote sawa tu!