Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

I like tht let him dance to Allah.





Latest info is that Uganda?s top musician, the self proclaimed music doctor, Jose Chameleon has converted to Islam. Snoops spotted the singer clad in full Muslim attire attending prayers at Kibuli Mosque on Friday August 12, 2011. He is now called Gaddafi Chameleon. Chameleon was accompanied by fellow artists Haruna Mubiru a Moslem and Grace Sekamate all of Eagles Production. Our snoops have not yet gathered reasons for the sudden change of religion. Chameleon a Catholic who tied the knot to Atim Daniella at Mbuya Catholic Church a few years ago has shocked many.


Watch this space!
Take a look below; (All photos by Male Godfrey)
[/QUOTE]
 
Hadi tumuone akisema mwenyewe kwa maneno yake kwenye youtube kuwa sasa yeye ni Muislam, maana hiyo "RedPepper" ni sawa na "Udaku Master" tu. Inawezekana kabisa jamaa alienda kufuturisha huo msikiti kwa nia ya "ku-show love" kwa Muslim fans wake kwenye mfungo.
 
Out of point,.....kilichonivutia mimi kwenye hizo picha nia gari anayotumia huyu chameleon, jamaa ni nouma kama Bongo kungekuwa na msanii mwenye mashine kama hiyo tusingekaa kwa raha hapa mjini. maana Bongo GX 100 inaitwa gari ya kifahari.
 
Na asije tena bongo! Shwine! Huyo ana ombwe la hisia so chochote kilicho jirani kinakava
 
KAMPALA UGANDA MWANAMUZIKI maarufu nchini uganda, jose chameleon, ameamua kubadili kutoka dhehebu la kikatoliki na kuwa muislam. kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari, tukio hilo lilifanyika juzi jijini hapa na kushuhudiwa na mamia ya waumini wa kiislam. mara baada ya kusilimishwa, mwanamuziki huyo nyota nchini uganda, alishiriki swala ya ijumaa katika msikiti wa kibuli.

Kuanzia sasa ataitwa Gadafi Chameleon. katika tukio hilo la kubadili dini, chameleon alisindikizwa na marafiki zake ambao nao ni wanamuzhki Haruna mubiru na Grace sekamate. chameleon aliyekuwa mkatoliki na kufunga ndoa na Atim Daniella katika kanisa katoliki la mbuya miaka kadhaa iliyopita, amewashtua wengi kwa uamuzi wake. gazeti la mzalendo, Habari za michezo
 
inaonekana wagala wengi imewauma eenh! Huyu kijana kuingia kwenye dini itakayomuongoza kwa maisha ya sasa na baada ya kifo chake. Na jiandaeni atasilimisha wengi sana kwa kuwaeleza mashabiki wake jinsi alivyogundua uongo na usanii unaofanyika kanisani kwani dini za kibiashara zaidi kuliko iman. Takbiiiiir.
 
Hakuwa mkatoliki labda alikuwa na jina na anahudhulia ibada kanisa katoliki,mkatoliki au mkristo hawezi kubadili dini,ukristo ni awareness ya maisha baada ya haya tunayoishi,mtu aishiye na kuamini huona hayo maisha baada ya haya na yupo tayari kufia imani ili afikie maisha hayo...Ni Yesu pekee aliyetoa ahadi ya kweli juu ya maisha yetu baada ya haya kwa wale watakao mwamini
 
mungu amemuongoza kuujua ukweli, na hii ni kazi ya mungu lakini watu wengi hawajui. ALLAH anasema INNA DINA IN NDALLAH AL ISLAM, dini ya haki mbele ya mwenye enzi mungu ni uislam. ikiwa utabisha unabisha kwa ujinga.
 
mungu amemuongoza kuujua ukweli, na hii ni kazi ya mungu lakini watu wengi hawajui. ALLAH anasema INNA DINA IN NDALLAH AL ISLAM, dini ya haki mbele ya mwenye enzi mungu ni uislam. ikiwa utabisha unabisha kwa ujinga.
Vp kuhusu waislam wanao-okoka kila siku na kumuamini YESU KRISTU kua bwana na mwokozi wa maisha yao????
 
Kapata kadada kazuri kazuri ambako kamemlazimisha abadili imani huyo bure!Tena ni kakiarabu nafikiri maana hilo jina la Gaddafi lina maana yake ati
 
Kapotea ataukumbuka uamuzi wake na kuujutia.
"Anayetaka (sterehe ya dunia hii) ipitayo upesi (na hana haja ya ahera), basi tutampa upesi upesi humo (lakini) tunayoyataka (tena ) kwa yule tumtakaye: kisha tumemfanyia Jehanamu, ataingia humu, hali ya kuwa ni mwenye kudharauliwa na kufukuzwa"
" Na anayetaka ahera (kwenda peponi) na akazifanyia jitihada amali zake, na hali ya kuwa ni Muislaam, basi hao jitihada (hiyo) itakuwa ni yenye kushukuriwa" Quran: 17:18-19.

"Hakika hii Quran inaongoza katika njia iliyonyoka kabisa, na inawapa habari njema Waislaam wafanyao vitendo vizuri, ya kwamba watapa malipo makubwa (kabisa)"
"Na (inatoa habari) kwamba wale wasio amini Akhera, tumewaandalia adhabu inayoumiza kabisa. Quran:17:9-10.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom