Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

Hongera sana Gadafi Chameleone, isije ikawa ni ushabiki tu lakini. Mungu hataniwi na wala hajaribiwi... Huyo Gadafi wa kweli ndo anaishia hivyo sijui na wewe unajitabiria mwisho wako au?
 
Jaman tusome hizi dini. Siku ya hukumu hakutakuwa na maneno ya mipasho km hapa. Siku hiyo ni nzito baba hatomjua mwanawe kila mtu atakuwa after nasfi yake kwanza. Jaribu kureason why we have all these religions, lengo la dini km linakuingia kichwan.
 
I mean usi stick kwamba mshua ni dhehebu hili then nikihama itakuwa soo! Kila mtu atakuwa na a/c yake kwa muumba. Mwanadam umepewa utashi wa kutenda jema au baya tofaut na viumbe wengine!
 
Welcome kijana.....allah(swt) amlinde katika imani inshallah..amiiiin
 
Nilisahau..kama kuna muislamu ana contacts za huyu kijana ani-pm,,ili tumuunganishe na ex- bad boy rapper aka-loon
nadhani atamshauri namna nzuri ya kujitoa kwenye makundi ya ajabu,muhimu afanye fasta maana kipindi hiki cha mfungo brother loon yupo free,kheri kubwa itapatikana inshallah
 
TUHESHIMU MAAMUZI YA CHAMELEON,,HUYU NAE BANGI???

cover_loon_loon.jpg



loon-islam.jpg
 
kila la kheri chameleon,kama sio kutafuta attention..manake amekaa kibangi bangi na mashehe mwambieni hairuhusiwi kusuka nywele ktk uislamu lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom