Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

Inawezekana tuu, mbona Michael Jackson alisilimu na mwanamasumbwi Mike Tyson nae alisilimu?... Ni jambo la kawaida tu...
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Bozy Boziana. Mwanamuziki wa Congo zamani ikiitwa Zaire. Mwingine ni mtoto wa Rais wa kwanza SUDAN YA ..... TENA MTOTO ANAMSHAURI BABA'KE ASILIMU AWE MUISLAM.
 
mwanamuziki maarufu jose chameleon amesilimu na kuwa muislam, maamuzi hayo aliyachukua ijumaa iliyopita katika msikiti wa kibuli mjini kampala huku akiambatana na marafiki zake Haruna mubiru. taarifa zaidi soma mzalendo la leo habari za michezo.
anataka kuoa mke wa pili.. si mnajua vijan wa sku hizi
 
Huyu si ndio alianguka toka ghorofa kadhaa Arusha akidai huwa anaamka bila kujijua na kuanza kutembea usiku? Au na yeye anasali chini ya bahari anatuzuga anataka kubadili dini?
Kila la kheri unakokwenda
 
inaonekana wagala wengi imewauma eenh! Huyu kijana kuingia kwenye dini itakayomuongoza kwa maisha ya sasa na baada ya kifo chake. Na jiandaeni atasilimisha wengi sana kwa kuwaeleza mashabiki wake jinsi alivyogundua uongo na usanii unaofanyika kanisani kwani dini za kibiashara zaidi kuliko iman. Takbiiiiir.
Dini ya ALLAH imeongeza idadi ya wavuta bangi miongoni mwa wafuasi wake, na ninakuunga mkono huyu bwana asilimishe wavuta bangi wenzake kwa wingi kwa kadri awezavyo ili wawe wafuasi wa Marehemu Muhamad.
 
umeona haki iko wapi cameleon, karibu!
Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi

Latest info is that Uganda’s top musician, the self proclaimed music doctor, Jose Chameleon has converted to Islam. Snoops spotted the singer clad in full Muslim attire attending prayers at Kibuli Mosque on Friday August 12, 2011. He is now called Gaddafi Chameleon. Chameleon was accompanied by fellow artists Haruna Mubiru a Moslem and Grace Sekamate all of Eagles Production. Our snoops have not yet gathered reasons for the sudden change of religion. Chameleon a Catholic who tied the knot to Atim Daniella at Mbuya Catholic Church a few years ago has shocked many.

Watch this space!
Take a look below; (All photos by Male Godfrey)
 
Kapotea ataukumbuka uamuzi wake na kuujutia.

Wewe ndie uliyepotea, unapaswa urudi katika dini yako ya maumbile. Mwenzako ameiona nuru. Hakika amepata uongofu. Amechoka ubabaishaji wa kanisa. Mara Yesu Mungu, mara Mwana wa Mungu. Ni vigumu kuingia katika mantiki kwamba mwana awe mungu, mama yake asiwe mungu. Jifunze kuheshimu imani za wengine wewe mjinga.

1. "Na anayetaka dini isiyokuwa Uislamu basi basi haitakubaliwa kwake. Naye akhera atakuwa katika wenye khasara (kubwa kabisa)" Quran 3:85

2. "Yeye ndie aliyemleta Mtume wake kwa uongofu na dini ya haki ili ajaalie kushinda dini zote ijapokuwa watachukia washirikina" Quran 9:33, 61:9

3. "Hakika dini mbele ya Allah ni Uislamu" Quran 3:19

4. " Jee, wanataka dini isiyokuwa ya Allah na hali kila kilichomo mbinguni na ardhini kinamtii yeye, kipende kisipende? Na kwake watarejeshwa wote" Quran 3:83
 
wanabadili dini kwa sababu ya mbunye...! hata ssebo aliekuwa mtangazaji wa EATV kawa muislam baada ya kupata k ya kiarabu. hahahaah.

UNAMKATAA YESU KWA SABABU YA MBUNYE..??? LOOOOO
 
Sawa,

hatukatai Chamelion kuwa mwislam mwenzetu!

LAKINI JE TUNAJUA MALENGO YAKE KUINGIA KWENYE UISLAM?????

TUSIWE WAVIVU WA KUFKIRI NA KUCHAMBUA MAMBO MAANA NAONA
TUNAISHIA KUSEMA...........

ALLAH AKBAR - TAKBIR!!!

USIJEKUTA HUKO ALIKOTOKA UOVU NDIO UMEMKIMBIZA.......... HAYA!!!
 
Takbir, Allah akbar
Amewaona wengi wemefuata HAKI maana asili ya binadamu ni Uislam. Uislam noma inafundisha mpaka namna ya kwenda chooni yaani ni ustaarabu. ndo maana wazee wa pwani walikua hawawapi watoto wao kuolewa na wabara
 
Dini ya ALLAH imeongeza idadi ya wavuta bangi miongoni mwa wafuasi wake, na ninakuunga mkono huyu bwana asilimishe wavuta bangi wenzake kwa wingi kwa kadri awezavyo ili wawe wafuasi wa Marehemu Muhamad.

I like your post.
 
Wewe ndie uliyepotea, unapaswa urudi katika dini yako ya maumbile. Mwenzako ameiona nuru. Hakika amepata uongofu. Amechoka ubabaishaji wa kanisa. Mara Yesu Mungu, mara Mwana wa Mungu. Ni vigumu kuingia katika mantiki kwamba mwana awe mungu, mama yake asiwe mungu. Jifunze kuheshimu imani za wengine wewe mjinga.

1. "Na anayetaka dini isiyokuwa Uislamu basi basi haitakubaliwa kwake. Naye akhera atakuwa katika wenye khasara (kubwa kabisa)" Quran 3:85

2. "Yeye ndie aliyemleta Mtume wake kwa uongofu na dini ya haki ili ajaalie kushinda dini zote ijapokuwa watachukia washirikina" Quran 9:33, 61:9

3. "Hakika dini mbele ya Allah ni Uislamu" Quran 3:19

4. " Jee, wanataka dini isiyokuwa ya Allah na hali kila kilichomo mbinguni na ardhini kinamtii yeye, kipende kisipende? Na kwake watarejeshwa wote" Quran 3:83
Ni, lazima ufahamu kwamba kuna ALLAH na kuna MUNGU. hawa hawalingani, ni kweli kabisa uislamu ni dini ya ALLAH na ndio maana ALLAH anaswali.
Pili ni lazima ujuwe kwamba waislamu wanamswalia mtume kwa sababu yuko Jehanamu kwa sababu alikufa akiwa na dhambi nyingi, sasa kama kiongozi unaemfuata hata yeye mwenyewe hajui hatima yake sijui ubongo wako hapo kama unaushirikisha.
 
Do! Huyu jamaa anaissue anataka kuipiga huko. Ila ninavyomjua Jose hawezi kuacha KITIMOTO
 
True to his name "chameleon" like every other chameleon, they are always bound to change into the likeness of their environments, Poor chameleon!! he most likely still have a long journey of change e.g into budhism, confusianism, hinduism you name it, My prayers is that he will find the grace in his journey of change to try Jesus Christ, but I further pray that he will find the brake in his transformation wagon to Stop by and walk with Christ for the rest of his, and obviously everyone of us's short and rather turbulent life span in this earth. ALL THE BEST "CHAMELEON"
 
Ni, lazima ufahamu kwamba kuna ALLAH na kuna MUNGU. hawa hawalingani, ni kweli kabisa uislamu ni dini ya ALLAH na ndio maana ALLAH anaswali.
Pili ni lazima ujuwe kwamba waislamu wanamswalia mtume kwa sababu yuko Jehanamu kwa sababu alikufa akiwa na dhambi nyingi, sasa kama kiongozi unaemfuata hata yeye mwenyewe hajui hatima yake sijui ubongo wako hapo kama unaushirikisha.

hahaha .... its funny wakati mtu hajui na hajui kama hajui anaongea kama anajuwa vile....

DUDE GET LIFE~!

P.S Mods post kama hizi tukianza kuzijibu! mnaifunga thread! lakini huyu jamaa kaandika mambo asiyo yajua na kumkashif mungu tunayemuabudu sisi waislam! post yake mmeaicha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom