Hiki ni chama au jumuiya? Kama ni jumuiya naomba kujiunga. Ila kama ni chama mimi simo!
- Any evidence?
Es!
Ujiunge kwani wewe unaishi NY?
Nilikuambia uniandalie makao nije kubeba maboksi na kumbebisiti Kabula
It could be posssibe.Labda Malecela atuambie vizuri!
Hizi jumuiya ni za kuandaa party tuu na wengine kuzitumia kama NGO kuweka mambo yao sawa,sioni ubaya wowote kuzianzisha lakini hazina maana sana,wabongo nawashauri nunueni life insurance kuliko kutegemea michango matatizo yakiwakuta...matatizo yakikukuta ni insurance yako na ndugu/marafiki wa karibu ndio watakusaidia lakini sio hivi vyama.
Uko tayari ku submit background check na kufanya drug tests?
Chama kilishindikana kwa vile watu walianza kujipanga kikabila. Baadhi yao naona ndio hao hao walioombwa ushauri. Nina uhakika Malecela anayafahamu haya vizuri sana.KJ ru serious?Unaweza kutuhabarisha ilikuwa vipi?Mkuu Malecela vipi kuhusu huo ukabila,bado upo ama nao umebarikiwa mkuu?
- Mwenyekiti wa muda Khaji ni anatokea visiwani, mimi ninatokea Dodoma, katibu mkuu anatokea Kigoma, katika viongozi wote wa muda tulionao hakuna mfanyakazi wa ubalozi wowote uwe wa nchi au nyumba kumi kumi na wala hakuna influence ya yoyote kutoka anywhere, unless kama unawafahamu unaweza kuwasema kwa majina yao ili tuweze kujiangalia ndani ya chama chetu kama wapo bila sisi wenyewe kujua. Ya chama cha zamani hayatuhusu sisi tunajali chama cha sasa.
Ahsante Sana.
William.CO
Mkuu FMEs,- Mkuu maneno mazito sana haya, sasa vipi ukitoa ushahidi kwamba chama kina watu wa ubalozi ukiwataja wka majina utasaidia sana, na kama huna ushahidi ni vyema ukaomba radhi kwa kuwa mzushi!
Respect.
FMEs!
Malecela,
Sijasema kuwa mmejipanga kikabila ila nafikiri mnafahamu jinsi ukabila ulivyoathiri uundwaji wa chama hapo awali.
Nililosisitiza toka awali ni kuwa hivi sasa hiyo interim team yenu ina harufu ya ukaribu sana na balozi/serikali na ndio maana mkaanzia huko kuomba baraka. Kwa nini msiondoe wote wenye ukaribu na walio ubalozini ili chama kuwa huru kweli kweli?
Mkuu FMEs,
Mbona unataka kujifanya huwajui au unataka umpatie Mod kibarua?
Kama nia ni kuunda chama kwa ajili ya kuwa jumuisha waTanzania, basi hakuna haja ya kuumbuana na kuvuana nguo mitandaoni ila ni muhimu kukosoana.