Chama Kipya: New York Metropolitan Tanzanians Community

Soon nitaweka nia na madhumuni ya chama hapa,utaona kwamba hatuna mpango wa kujiingiza kwenye siasa za taifa lolote iwe US wala Tanzania, sio nia yetu hiyo[/FONT][/COLOR]una maana kuwa chama tayari kimezaliwa? Hayo si madhumuni, bali ni tentative tu hadi hapo wanachma watakapoyakubali.

- Chama kilishazaliwa tayari, na wanachi walijitokeza na kuchagua viongozi wa muda, kinachofuatia ni kukubaliana kuhusu katiba na how to go about it na ndio maana ya kuja kutafuta ushauri hapa na mawaidha, ila kama nilivyosema kwamba hakuna member hapa wala kiongozi wa muda, na kwa hiyo ni uamuzi wetu chama kuchukua mawaidha muhimu tu ambayo tutayaona yanatufaa kuendeleza chama.

Kulingana na usemi wako, website na katiba itatolewa. Je, kwa nini muanze kutengeneza website na kutunga katiba na hali chama hakijazaliwa?

- Chama kilishazaliwa tayari, na wanachama wapya walishakutana na kuchagua viongozi wa muda, kuna hela zilichangwa na wanachama na kufungua account ya chama tayari, website iko mbioni na Mwenyekiti wa muda amerudi leo asubuhi tayari, kwa hiyo tutatafuta siku na kuamua tunafanya nini next.

Itafaa sana kuwataja wale waliokutana hapo Harlem, sijui kwa nani na kuanzisha wazo la kuunda chama? Tupe majina yao. Ili chama kianze na unquestionable transparency.

- Hawatatajwa humu ndani ya forums, ila ukijiunga na hiki chama unaweza kuuliza kwenye vikao na utaambwia ni kina nani, hapa hatuko obligated kufuata amri yoyote ya wachangiaji, ila tuko hapa kupata ushauri tu!

Kwa nini hujaweka majina ya wanakamati ya kutayarisha kumuaga Balozi Mwakawago (marehemu sasa)? Ndio mlitayarisha hafla ya kumuuga Balozi Mwakawago. Je, mlimuaga Balozi Foum na kumkaribisha Balozi Chagula? Mlimuaga Balozi Chagula na kumkaribisha Balozi Nyaki? Mlimuaga Balozi Nyaki na kumkaribisha Balozi Mwakawago? Je, mlimkaribisha Balozi Mahiga? Je, mlimkaribisha Balozi wa ma-Balozi Asha Migiro?

- Tumewahi kuwaaga balozi Chagula, Mwakawago na kumkaribisha Mama Migiro ingawa nimeijibu hii haina uhusiano wowote na hiki chama kipya ila ilikuwa kuweka sawa tu the record.

Mwisho, ni lazima iwepo sababu ya kumuaga Balozi Mwakawago na hata kuomboleza kifo chake! Kuna wenye kuamaini kuwa sababu hiyo imejikita sana katika u-dini kwa baadhi ya Watanzania hapo NY

- Balozi Mwakawago alikua mtu wa watu, ndio maana aliagwa na wananchi karibu wote na majuzi pia aliombolezwa na karibu wananchi wote wa NY, binafsi nilikuwa ninamfahamu sana toka nikiwa mdogo.

- Mkuu kama nilivyoahidi nitagusa yaliyo muhimu tu kwa chama, yale niliyoyaacha yote ni kwa sababu hayana umuhimu wowote kwa chama chetu kipya.

Ahsante Sana.

William. (Community Organizer na Msemaji wa Chama).
 
- By the way leo nilipata bahati ya kukutana na Bwana Paul Rusesabagina for atleast 1 hour and a half, it was a great experience kukutana na huyu great hero, very humble man na for sure a very intelligent man,

- Amenisikitisha sana na habari ya jinsi nyumba yake alipokuwa akiishi Belgium, ilivyovamiwa na "watu" na kuharibu kila kitu ndani yake, inatia uchungu sana, lakini amenipa moyo sana kwa jinsi asivyoogopa na sasa amehamia US. Nimemuomba sana apitie pitie hapa maana anajua kiswahili chote, akasema atajaribu sana siku za karibuni, sasa hivi anashugulika na charity works.

Ahsante.

William. (Community Organizer).
 
Inahusu vipi chama chako unachokinadi hapa. Acha viroja.
 
Inahusu vipi chama chako unachokinadi hapa. Acha viroja.

- Ni part ya Community Organizing, kwa sababu pia nilienda kupata ushauri zaidi maana hawa kina Paul, ndio hasa wanaojua vizuri sana hizi shuguli na nilijifunza mengi sana kutoka kwa huyu shujaa.

Ahsante.

William.
 
Nadhani ungejifunza kuseparate private na public life yako. Hili ni tatizo kubwa sana kwako. Kuna siku utatuambia mkeo ni shujaa kwa sababu umejifunza mengi sana toka kwake......
 
Nadhani ungejifunza kuseparate private na public life yako. Hili ni tatizo kubwa sana kwako. Kuna siku utatuambia mkeo ni shujaa kwa sababu umejifunza mengi sana toka kwake......

- Sina tatizo lolote kukutana na Community Organizer mwingine wakati kama huu tunaotaka kusimamisha chama sio private life, ila shuguli muhimu katika kuimarisha chama kipya na nimejifunza a lot toka wka huyu shujaa. Mke wangu na watoto wangu sina hata sababu ya kuwataja kwa sababu ni my half yaani wao ni part ya maisha yangu.

Kwa hiyo unakubali kuwa hiki chama ni chako binafsi bali unataka support ya community ili uweze kufanikisha malengo yako. Ikitokea community member anahoji hoji kuhusu chochote juu ya chama ambacho wewe hutaki kuhojiwa kwacho, si utamtimua kwa vile wewe ndio mwanzilishi, organiser na msemaji.
 
Kwa hiyo unakubali kuwa hiki chama ni chako binafsi bali unataka support ya community ili uweze kufanikisha malengo yako.

- Chama ni cha Jumuiya ya wa-Tanzania, sihitaji chama chochote kufanikisha anything changu binafsi, ninawasaidia watoto wangu na wa wananchi wengine na hiki chama, na ninajaribu kuwaunganisha wananchi ambao wameishi karibu miaka 47 bila jumuiya, that is very sad!

- Halafu the best of all ni kwamba idea ya hiki chama imetokea kwa vijana wadogo sana kiumri, hiyo inatia moyo sana, otherwise ukitaka kujiunga unakaribishwa ila so far wewe sio member maana hatuna member mwenye jina lako.

Ikitokea community member anahoji hoji kuhusu chochote juu ya chama ambacho wewe hutaki kuhojiwa kwacho, si utamtimua kwa vile wewe ndio mwanzilishi, organiser na msemaji.

- Haya ni matatizo yako ya binafsi hayana anything to do na ushauri kwa chama kipya, ningekua ninakufahamu kweli ningekujibu, naona uko very serious na ile mission yako ya kujivua nguo hadharani, maana kila anayekusoma anajiuliza kulikoni mbona hasira sana bila busara wala ushauri kwa chama kipya cha jumuiya?, mwishowe anaishia kupata jawabu kwamba mtumzima kaamua kujivua nguo mwenyewe! kulikoni?

Ahsante.

William.Community Organizer
 
Uliahidi kuweka bayana wanakamati waliokutana Harlem! Sasa umeufyata?

- Mkuu samahani sana hapa JF naamini hakuna mbwa wa kufyata mikia na sitaki kuamini kwamba wewe ni mbwa unayeweza kufyata mkia,

Nimekua na shughuli sana, isipokuwa ni kwamba chama na viongozi wake wa muda, tumeamua kuhamishia hizi habari kwenye webbsite yetu mpya ya chama, ambako pia tutakuwa na nafasi ya wananchi kuchangia mawazo yao, nitawafahamisha jina la webb as soon as possible.

- Isipokuwa kwa sasa naomba kuwashukuru sana utawala wa JF kwa kuweza kutupatia nafasi hii na pia wananchi wote waliochangia huu mjadala, tumejifunza mengi sana na kwa niaba ya chama ninashukuru sana kwamba wengi mnajali yaani kuwaonea huruma wananchi wa NY kwa kuweza kuishi miaka 47 ya uhuru wetu bila chama cha jumuiya. Mawazo mazuri yamesikika na yatafanyiwa kazi, ila tukutane kwenye webb yetu mpya ya chama.

Mungu Aibariki Tanzania na Hiki Chama Kipya na ndugu zangu muwe na amani sana ya Mwenyezi Mungu wa Mbinguni.

Ahsante na Kwaherini ya Kuonana.
William. (Community Organizer).
 
Maneno mengi, ahadi nyingi utekelezaji sifuri. KiCCM CCM.

Chama chako ni dead kabla hakijazinduliwa.
 
You see the kind of a person you are, short and simple minded.

You even don't understand that.

- Unajua inachekesha sana wasting your time na this kind of a person Bwa! ha! ha! ha! badala ya those who looks like you kina the...ha?! ha! ha! ha! hillarious! Endelea kujivua nguo, afadhali mwenzako yeye yuko kimyaa!
ni wewe tu ha! ha! ha!

Es!
 
Back
Top Bottom