Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

Usipokuwa mhusika ni ngumu sana kuujua ukweli.
Ni kweli madaktari wanapokea sms na calls nyingi za vitisho.
Nadhani ni sahihi tu kutafuta njia mbadala za kulinda usalama wao.
Haya ni ya ngoswe.....

Washenzi hawa wamejitakia wenyewe na hii huenda ni ghiriba yao tu - na waende huko umoja wa mataifa
 
na wagonjwa wanaokufa bila hatia kwa migomo bubu waombe ulinzi wapi? Ni ijumaa iliyopita nilienda amana hospitali kitengo cha kinamama wajawazito. Wamama walikaa toka saa moja asubuhi hadi saa tano bila kuonana na dactari na baadae nesi akatangaza. Wamama kama mnavyojua serikali imetangaza hakuna mgomo lakini sio kweli. Leo tuna madoctor wawili mmoja yuko theater mwingine labour hatuna doctor wa kuwapima wengne hawajaja tunafanya mawasiliano kuwaomba waje kuwahudumia. Atakayeweza kuendelea kusubiri asubiri kama huwezi urudi jumatatu maana madoctor hawana uhakika wa kuja. Source mi mwenyewe nilikuwepo.

Je wananchi wakifungua mashtaka the HAGUE wakishitaki madktari waliogoma kwamba wamejihusisha na mauaji ya kukusudia kwa wagonjwa - oh yes something akin to WAR CRIME! na hiki ndicho kinacho endela nchini sasa hivi - wanakosa uzalendo na UTU. Mimi sina shaka Bwana OCAMPO akipata taharifa hizo atazidaka kwa kasi ya ajabu bila ya kujali kama amekwisha staafu au la, hukumu yake ni a life sentence in a slammer - NO parole.

Hivi kwa nini ma GP na ma INTERN mmepania ku-BLACKMAIL your MOTHERLAND?? I trust verily that U are not soldiers of FORTUNE! Are U?
 
UN wanaweza wasitoe hifadhi (kwa haraka haraka) lakini hata kama hawakutoa bado hii ni major embarrassment to the government and it really damages Tanzania's repuation internationally. Laiti busara ingetumika.

NB: Kuna kwenye barua wanasema wakati wanamwahisha Dr Ulimboka Muhimbili kulikuwa na gari (ya serikali) mbele yao ikijaribu kuwa-block!
 
Watusaidie pia kumkamata na Mkw3re akahojiwe Kwenye Mahakama ya Kimataifa kwa Kushindwa Kutimiza Ahadi zake
 
Haya sasa waliokuwa wanabisha juu ya Msangi semeni yenu tena!!! muuwaji mkubwa ashagundulika hata mfanye nn au lipi huu ukweli hautapotea kamwe!!! mpaka mnakwenda Clauds fm kujisafisha!! shame on you!!!!!
 
All schizophrenics feel better when they inflict pain to others because their minds are hollow,their heart are empty and they lack emotion.- mshipa wa aibu haukufinyangwa tangu walipoumbwa

Tumewapa Schizophrenic watawale nchi yetu itatugharimu kweli kweli kuwaondoa.

Hawa jamaa mambo yao ya kila siku wanayafanya bila aibu mfano wa Very Advanced Robot ambalo software yake imekuwa haked na deliberately imekuwa changed ili kuwadhuru binadamu wenzao.

mfa maji haachi kutapatapa mbio za UN zimeshindwa Kongo Zaire ndio zinaombwa kuletwa TZ
 
jamani huko mwabepande inawezekana kuna mafuvu mengi sana na mifupa ya watu,hii ya Dr Ulimboka ni MUNGU amependa sana kumweka hai ili DR aelezee mateso na ukatili wa serikali hii, ni damu nyingi sana zimemwagwa huku Mwabepande jamani.Ikiwezekana kukafanyiwe uchunguzi huku msitu wa pande.Kwann km serikali inakana kuhusika hawajakwenda hata huku kuangalia tu? ina maana ni ofisi zao hizo zina maiti kibao wazozijua huko
 
Jambo la msingi hili viongozi wa madaktari. Acha dunia nzima ijue yanayoendelea. Mungu ni mwema na sauti za wengi ni sauti ya Mungu. Mungu awatetee katika hali ngumu hii mnayopitia.
 
Hata Syria matatizo yalianza hivi hivi mwishowe ikajenga chuki miongoni mwa jamii. Watakaoleta fujo nchi hii ni CCM kwani wao ndio wana jeshi, Polisi, usalama wa Taifa na magari ya vita. Litakalo tokea wakulaumiwa ni wao.
 
Je wananchi wakifungua mashtaka the HAGUE wakishitaki madktari waliogoma kwamba wamejihusisha na mauaji ya kukusudia kwa wagonjwa - oh yes something akin to WAR CRIME! na hiki ndicho kinacho endela nchini sasa hivi - wanakosa uzalendo na UTU. Mimi sina shaka Bwana OCAMPO akipata taharifa hizo atazidaka kwa kasi ya ajabu bila ya kujali kama amekwisha staafu au la, hukumu yake ni a life sentence in a slammer - NO parole.

Hivi kwa nini ma GP na ma INTERN mmepania ku-BLACKMAIL your MOTHERLAND?? I trust verily that U are not soldiers of FORTUNE! Are U?

Kiongozi, kwenye red; Ili iwe hivyo lazima kuwepo na mkataba kati ya wananchi na madaktari kuhusu huduma za afya. Je kuna kitu cha namna hiyo?

Binafsi nadhani hii issue ilikuwa mishandled from the begining. Migomo na migogoro ipo kila mahali, na serikali inatakiwa sasa ijiandae kukabaliana na mambo kama hayo kwa njia bora zaidi kuliko ilivyo sasa. Yaani ukitafakari kwa makini govt wame-miss opportunities nyingi sana za kumaliza hii kitu. Pengine bado tunatumia formula za zamani.
 
kuna mijitu ilikuwa inabisha juuya dr ulimboka kumtaja msangi ...sasa barua hii nayo imesema ni kwelim msangi alitajwa kuhusika.....
 
Je wananchi wakifungua mashtaka the HAGUE wakishitaki madktari waliogoma kwamba wamejihusisha na mauaji ya kukusudia kwa wagonjwa - oh yes something akin to WAR CRIME! na hiki ndicho kinacho endela nchini sasa hivi - wanakosa uzalendo na UTU. Mimi sina shaka Bwana OCAMPO akipata taharifa hizo atazidaka kwa kasi ya ajabu bila ya kujali kama amekwisha staafu au la, hukumu yake ni a life sentence in a slammer - NO parole.

Hivi kwa nini ma GP na ma INTERN mmepania ku-BLACKMAIL your MOTHERLAND?? I trust verily that U are not soldiers of FORTUNE! Are U?

Go back to ur constitutional copy if u have any
The gov is responsible for providing health services to her citizen and not otherwise...
Doctors are just employees as any other employees ....
Try to think big and do some analysis before you post in here.....
 
Kiongozi, kwenye red; Ili iwe hivyo lazima kuwepo na mkataba kati ya wananchi na madaktari kuhusu huduma za afya. Je kuna kitu cha namna hiyo?

Binafsi nadhani hii issue ilikuwa mishandled from the begining. Migomo na migogoro ipo kila mahali, na serikali inatakiwa sasa ijiandae kukabaliana na mambo kama hayo kwa njia bora zaidi kuliko ilivyo sasa. Yaani ukitafakari kwa makini govt wame-miss opportunities nyingi sana za kumaliza hii kitu. Pengine bado tunatumia formula za zamani.

Heshima yako mkuu, nakubaliana nawe ila mimi hapa nilikuwa nafanya utani tu - lakini vile vile nawakumbusha wenzetu hawa kwamba nchi ikivurugika hakuna ambaye atapona - unaweza kuanzisha vurumahi lakini uwezi kutabiri zitaisha KIVIPI; that's my greatest worry MKUU.

Kitu kingine mbona Govt ilihafiki na madai yao mengi ingawa si yote, hivi tukiwa wakweli kuna kundi lingine la wafanyakazi Serikalini walio wahi kupata leeway ya namna hiyo? Sasa kuna haja gani ya kutaka Govt ihanze tena ku- go down on her knees kuwabembeleza kwenye kitu ambacho kwa akili za kawaida wote tunajua Serikali haina uwezo wa kukitekeleza?? Hapo mimi ndio nashindwa kuwaelewa! - kama wana agenda nyingine ya ziada waseme. Mkuu ntakushuru sana kama utawapatia Viongozi formula ya DOT COM kumaliza mgogoro huu kama unaona formula ya zamani imekosa mwelekeo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom