meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
Halafu ukute DC mwenyewe ni kilaza tuu asiyejua lolote kuhusiana na kaliba ya utabibuView attachment 2026553
Kwa nini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea??
Kada!Halafu ukute DC mwenyewe ni kilaza tuu asiyejua lolote kuhusiana na kaliba ya utabibu
Ni shida sanaHalafu ukute DC mwenyewe ni kilaza tuu asiyejua lolote kuhusiana na kaliba ya utabibu
Mda mwingine hivi vyama vya madaktari vimejaa uzembe na upumbavu! Daktari anafanya ujinga mgonjwa napoteza maisha au anapata madhara anajua kuna chama kitamtetea! Kuna watu humu siku yakikukuta umekutana na daktari mpumbavu nakufanyia upumbabu kwa mgonjwa wako ndo utaelewa! Hivi vyama sio ticket ya kutetea wafanya kazi wazembe!View attachment 2026553
Kwa nini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea??
Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.
Kwa nini techinical issues zinakuwa politicised?
Hao madaktari ndio hao hao wanaofanya kwenye sekta binafsi.Npo pamoja na DC... waache kufanya mchezo kwenye hospital za umma. tummeipenda wenyewe.
chama kitamteteaje kama DC Keshatoa maamuzi?au wewe ndio DC nini?Mda mwingine hivi vyama vya madaktari vimejaa uzembe na upumbavu! Daktari anafanya ujinga mgonjwa napoteza maisha au anapata madhara anajua kuna chama kitamtetea! Kuna watu humu siku yakikukuta umekutana na daktari mpumbavu nakufanyia upumbabu kwa mgonjwa wako ndo utaelewa! Hivi vyama sio ticket ya kutetea wafanya kazi wazembe!
Ni shida sana
Hakika,no source Bali ni lawama tu.Mtoa mada Umeandika kana kwamba kila member humu anaishi uko kaliua
Kwani PGO ya kitabibu inasemaje?chama kitamteteaje kama DC Keshatoa maamuzi?au wewe ndio DC nini?
mtoto wa miaka mitano kukosa bima ya afya ni uzembe wa DC.angekuwa na bima ya afya tusingepata mgogoro huu.
Wizara ya afya iwahishe muswada wa bima ya afya ya lazima kwa wote...hili litafanya kusiwe na mijadala ya bei za matibabu wakati mgonjwa anatakiwa kupata huduma.
mimi nitaulizia kiwango cha wananchi waliojiunga na bima ya afya hapo kaliua.
swali hii asiulizwe mtaalamu wa afya bali DC mwenyewe.
Chini ya miaka mitano ni bure ...miaka mitano kuendelea ni fedha au bimaMtoto chini ya miaka 5 si anatibiwa bure au siyo hivyo?
Ndo mnavyodanganyana? Hakuna aliye zaidi ya mwingime mbele za Mungu! Ndo maana pamoja na udaktari wako kifo kipo palepale! Tuheshimu sana kwa kufanya majukumu yetu kikamirifu!Baadhi ya Wajinga..wanatuchukuliaga poaaa sanaaa kwakua ni viongozi !!!
Watu wajue, Daktari ni mwanadamu anayependwa zaidi na Mungu!
Hiyo sera ni kama inakufa taratibu. Maana kila aliyekuwq mgonjwa wa msamaha sasa hivi anahamasishwa kukata bima, aidha ya NHII au iCHFMtoto chini ya miaka 5 si anatibiwa bure au siyo hivyo?
Huyo DC ni mteule wa marehemu? Maana wateule wa marehemu, wengi walikuwa ni vichaa.View attachment 2026553
Kwa nini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea??
Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.
Kwa nini techinical issues zinakuwa politicised?