Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Of coz high maintanaince. Si uliona jana viwezesha urembo nilivo orodhesha pale?
teh teh teh. BAK you are great, my Bank accout is flowing! Did you really have to add a bit more?[/QUOTE]


Yes :):) but you don't have to repay the extra amount above 500K.....niliona list ya vikolombwezo vyako alias viwezesha :)...We mkare!!! :):)
 
Yes :):) but you don't have to repay the extra amount above 500K.....niliona list ya vikolombwezo vyako :)...We mkare!!! :):)


mmmh! Lucky Erotica, first HIT I land a gentleman. teh teh teh
 
yaani wewe unakuja huku kutafuta urafiki na watu na mpaka mnaanza kukopana?? si mchezo kweli jf imekuloga.... kuna mijitu humu ndaani inaanza kukupm alafu hawajui kua wewe ni mwanaume au mwanamke ila inaanza tu kukutongoza hii tabia chafu sana...jamani tumekuja huku kupoteza mawazo ya kimaisha na shughuli zingine mbalimbali sasa sijui tukija tena na hapa tunaanza kukutana na vurugu zingine ambazo hatuzitarajii...njoo hapa weka mada yako ondoka mambo ya kupm watu humu ambao huwajui sio vizuri...hapa wote ni cyber friends..hatujuani na ni bora ibakie hivo hivo
 
Aiseeee. .
Ngoja na mimi nishuke na challenge zinazonihusu, japo siagi.

A.Nshatishiwa tindikali.
B.Nshatokewa na VIbabu.
C.Eti nna maadui.
D.Nshaolewa na kuachika mara kadhaa.
E.Nshamwalika mtu UngaLTD nikajuuuuuta kujipendekeza.
F.Nshakopa kwa ID tofauti mpaka leo nadaiwa.
. . . . . . .

Hiyo ni trailer. . .bado mkanda.

Haya pole Husninyo. . . .wasalimu wote uendako.

mmmh!vibabu vipo tena na hapa!?hivi vibabu si vijiuzulu?

hapo kwenye F angalia Lizzy utakuwa among suspects!
 
Last edited by a moderator:
mods hebu jaribuni ku-disable pm!wananchi mtaandama pm ikifungwa?maana imekuwa kichaka cha wizi na uzinzi na uchafuzi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom