Chalamila: Nauli mabasi zizingatie hali ya wananchi

Tsyamatsy

Senior Member
Sep 9, 2023
112
156
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wadau wa huduma za Usafiri Ardhini wakiwemo wamiliki wa mabasi wazingatie hali ya uchumi wa wananchi wakati wa kukubaliana kiwango cha nauli.

Chalamila aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Latra na wadau kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu ongezeko la nauli za mabasi ya masafa marefu na mabasi ya mjini (daladala):

"Mnapojadili suala la nauli pia angalieni abiria wapo katika Hali gani kiuchumi Kwa sasa: (mwisho wa kunukuu)
 
Kwa haya mafuta ya Tanzania yenyewe Kodi na tozo kuzidi gharama halisi za kuagizia mafuta hali za maisha zitaendelea kuwa mbaya tu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wadau wa huduma za Usafiri Ardhini wakiwemo wamiliki wa mabasi wazingatie Hali ya uchumi wa wananchi wakati wa kukubaliana kiwango cha nauli.
Chalamila aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Latra na wadau kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu ongezeko la nauli za mabasi ya masafa marefu na mabasi ya mjini (daladala):
"Mnapojadili suala la nauli pia angalieni abiria wapo katika Hali gani kiuchumi Kwa sasa: (mwisho wa kunukuu)
Mheshimiwa Chalamila, mi naona ushauri huu pia kwanza wangepewa EWURA hii ingetusaidia sana sisi walalahoi kwani hata hao Latra na wamiliki wa vyombo vya Usafiri wasingekuwa na jambo lao la kudai nyongeza ya nauli. Kama Bei ya mafuta imeshapandishwa bila shaka na wewe unaelewa kabisa anaekuja kuumia ni mtumiaji wa mwisho ambaye ni mwananchi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wadau wa huduma za Usafiri Ardhini wakiwemo wamiliki wa mabasi wazingatie hali ya uchumi wa wananchi wakati wa kukubaliana kiwango cha nauli.

Chalamila aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Latra na wadau kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu ongezeko la nauli za mabasi ya masafa marefu na mabasi ya mjini (daladala):

"Mnapojadili suala la nauli pia angalieni abiria wapo katika Hali gani kiuchumi Kwa sasa: (mwisho wa kunukuu)

Kwani kodi, tozo, marupurupu serikalini, bungeni, yale magari yao, wizi, ubadhirifu au ile misafara yao huwa inazingatia hali za wananchi?
 
Kama ingelikuwa inazingatiwa Hali ya wananchi basi isingefikia Hali hii.
 
Aache usanii, suala la nauli linategemea Sana kupanda kwa Bei ya petroli na diesel. Kwa hivyo yeye ange shughulikia Bei ya mafuta huko EWURA halafu Bei itajiendesha yenyewe
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wadau wa huduma za Usafiri Ardhini wakiwemo wamiliki wa mabasi wazingatie hali ya uchumi wa wananchi wakati wa kukubaliana kiwango cha nauli.

Chalamila aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Latra na wadau kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu ongezeko la nauli za mabasi ya masafa marefu na mabasi ya mjini (daladala):

"Mnapojadili suala la nauli pia angalieni abiria wapo katika Hali gani kiuchumi Kwa sasa: (mwisho wa kunukuu)
Huyu majukumu yake ni kuropoka sijui kwanini JD yake ni tofauti na ma RC wengine
 
Awaambie wanaoongeza bei za mafuta kiholela waangalie hali za wananchi.
Pia wanaoiingiza nchi katika miamala ya ovyo waangalie hali ya walipakodi. Haondio wanaokamuliwa kweli kweli sio viongozi wanaojisamehesha kodi na kujiongezea malupulupu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wadau wa huduma za Usafiri Ardhini wakiwemo wamiliki wa mabasi wazingatie hali ya uchumi wa wananchi wakati wa kukubaliana kiwango cha nauli.

Chalamila aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Latra na wadau kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu ongezeko la nauli za mabasi ya masafa marefu na mabasi ya mjini (daladala):

"Mnapojadili suala la nauli pia angalieni abiria wapo katika Hali gani kiuchumi Kwa sasa: (mwisho wa kunukuu)

Izingatie upande wa wenye mabasi mbona hayo mazingatio hayapo serekalini kila leo mafuta yanapanda
 
Huyu majukumu yake ni kuropoka sijui kwanini JD yake ni tofauti na ma RC wengine
Ndugu, sio kuropoka tu Bali Anatakiwa Awe JASIRI kuwaambia hao wanaopanga Bei za Mafuta kuwa Bei hizi Tunatesa na kuua walalahoi, sababu Kwa kauli yake hiyo ni kwamba anaelewa jinsi sisi Wakesha hoi tunavyoteseka. Kwani unapokunywa sumu hujui matokeo yake? Ni kifo! Sasa wakati wanaketi kupanga hizo Bei kwani hawajui nani atateseka??
 
Kwani unapokunywa sumu hujui matokeo yake? Ni kifo! Sasa wakati wanaketi kupanga hizo Bei kwani hawajui nani atateseka??
Natambua hilo Mkuu, nasema anaropoka kwasababu kauli zake hazielekezwi kwa wahusika
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wadau wa huduma za Usafiri Ardhini wakiwemo wamiliki wa mabasi wazingatie hali ya uchumi wa wananchi wakati wa kukubaliana kiwango cha nauli.

Chalamila aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Latra na wadau kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu ongezeko la nauli za mabasi ya masafa marefu na mabasi ya mjini (daladala):

"Mnapojadili suala la nauli pia angalieni abiria wapo katika Hali gani kiuchumi Kwa sasa: (mwisho wa kunukuu)
Na anapofokea wananchi aangalie afya zao pia
 
Back
Top Bottom