ila iko poa mana unavila na nyama changanyia supu
mfano supu na mkate ni poa sana
teh teh nyama za kuchoma au kukaanga ukipika tatizo ukipika unahisi vinapelea ukila
dah msosi wa waarusha,nimeumiss sana,iwe loshoro ya maziwa na mahindi au ndizi zote poa
Mi napenda ndizi nyama
njoo moshi nikuandalie!!Kiburu ndo nini mkuu
ila kwa kila aina ya msosi mnyama imechangia kwa kiasi kikubwa,mfano wali nyama,ugali nyama,ndizi nyama,hata tambi.