Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 24, 2012 Thread starter #61 Cantalisia said: Mie kitu cha mnyama iwe kavu,ndizi mzuzu za kukaanga na kitu cha savana pemben! Click to expand... dah huo msosi wa ukweli
Cantalisia said: Mie kitu cha mnyama iwe kavu,ndizi mzuzu za kukaanga na kitu cha savana pemben! Click to expand... dah huo msosi wa ukweli
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 24, 2012 Thread starter #62 Chidylee said: Ndiz na nyama choma pembe kuna kuwa redbul bariiid. Ah hpo huniondoi. Click to expand... hivi si wanasemaga hiyo redbul ina madhara
Chidylee said: Ndiz na nyama choma pembe kuna kuwa redbul bariiid. Ah hpo huniondoi. Click to expand... hivi si wanasemaga hiyo redbul ina madhara
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 24, 2012 Thread starter #63 Mamndenyi said: dagaa, njegere, maini Click to expand... hapo dagaa na maini nakubali,njegere sifahamu inatengenezwaje
Mamndenyi said: dagaa, njegere, maini Click to expand... hapo dagaa na maini nakubali,njegere sifahamu inatengenezwaje
doctorz JF-Expert Member Aug 10, 2010 916 228 Feb 24, 2012 #64 Rowe na Mi KK. Lainiiiiiii. Inashuka kooni bila ya kukandamiza.
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,375 Feb 25, 2012 #65 doctorz said: Rowe na Mi KK. Lainiiiiiii. Inashuka kooni bila ya kukandamiza. Click to expand... I can smell Kigoma hapa... tena mi kk ya kukunja? :lol:
doctorz said: Rowe na Mi KK. Lainiiiiiii. Inashuka kooni bila ya kukandamiza. Click to expand... I can smell Kigoma hapa... tena mi kk ya kukunja? :lol:
gambachovu JF-Expert Member Dec 29, 2011 1,854 292 Feb 25, 2012 #66 Excellent said: Mi napenda ndizi nyama Click to expand... Vp umeishi na wahindi kwa sana? Hiyo thread yako ulivyoiandikaa..mmh..!
Excellent said: Mi napenda ndizi nyama Click to expand... Vp umeishi na wahindi kwa sana? Hiyo thread yako ulivyoiandikaa..mmh..!
gambachovu JF-Expert Member Dec 29, 2011 1,854 292 Feb 25, 2012 #67 Excellent said: Mi napenda ndizi nyama Click to expand... Ugali wa unga wa mtama na mboga ya mchunga..!
Excellent said: Mi napenda ndizi nyama Click to expand... Ugali wa unga wa mtama na mboga ya mchunga..!
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 25, 2012 Thread starter #71 doctorz said: Rowe na Mi KK. Lainiiiiiii. Inashuka kooni bila ya kukandamiza. Click to expand... dah sijaelewa
doctorz said: Rowe na Mi KK. Lainiiiiiii. Inashuka kooni bila ya kukandamiza. Click to expand... dah sijaelewa
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 25, 2012 Thread starter #72 gambachovu said: Vp umeishi na wahindi kwa sana? Hiyo thread yako ulivyoiandikaa..mmh..! Click to expand... kwa mda mfupi sana niliishi nao,kama miezi sita
gambachovu said: Vp umeishi na wahindi kwa sana? Hiyo thread yako ulivyoiandikaa..mmh..! Click to expand... kwa mda mfupi sana niliishi nao,kama miezi sita
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 25, 2012 Thread starter #73 senetor07 said: Ugali wa dona na matembele. Click to expand... kurudia kula matembele kila siku nayo ishu
senetor07 said: Ugali wa dona na matembele. Click to expand... kurudia kula matembele kila siku nayo ishu
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 25, 2012 Thread starter #74 Jast Bleiz said: Mishikaki ya kitimoto. Click to expand... dah ya ukweli sana
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,228 Feb 25, 2012 Thread starter #75 SALOK said: Chicken coconut rice! Click to expand... hata mi nakubali sana