Chakula gani unaipenda sana?

Ugali ulee wa Kwantee .. lakini ukiwa kama ule wa majirani zetu duuuhh. Utamu wote Unapotea..
Ila tatizo siku hizi wameuacha,hawataki culture bhana,siku hizi hata hawapiki dah
 
Dahhh. Siku hizi ndo wamezidisha unga wa shida kusonga .. Kwante is the way to go ..

Labda we unaishi mjini njoo huku Kilima Moja! Hatuachi asili.
 
teh teh nilienda maeneo kibao kufanya reseach yangu,nimegundua wamebadilika bhana hata mlenda kuchanganya na
maziwa haipo jamani,labda ujipikie then utengeneze mwenyewe,but nimemiss kweli,halafu si unakumbuka msosi
unaumega unavyotaka.
 
Haha duuuhh we ulienda hapo nama research
yako unaongea Kiingeresa wakadhani umetoka ulaya .. badala ya Kwante wakakupikia ule. Wamajirani zetu .

Karibu kwa bibi yangu ..na maziwa yetu ya mgando ni yale yanasukumwa kwenye kibuuuyu mpaka samli inatoka. Daaaaamn
 
hehehehe mbona mpaka,kwanza yapo original halafu mazito,halafu ukizoea mazingira yale ya ni raha sana,
kweli napenda sana,sometimes unakuta na asali,i'm proud of it
 
Back
Top Bottom