Chakula gani kitumike ili kuboresha na kuzalisha manii?

Yayo

Member
Aug 7, 2012
15
1
Jamani kamakuna mtu anauelewa kuhusu jambo hili tusaidianae tuteushauri namawazo yakiutuuzima.
 
Duuh mkuu vipi tena,hayapo kabisa au unataka kukaangia chipsi?n way vyovyote iwavyo labda ushauri wa mdau hapo juu utakusaidia
 
muhogo mbichi, karanga mbichi, matango, karoti
Mkuu.Polisi Kakupa ushauri mzuri na mimi nitaongeza kidogo tumia kwa wingi hii kitu cheese kulia na mkate utaona manii itakuwa ni nyingi ya kumwaga.


White%20cheese.jpg



feta_fette.jpg


Chizi mweupe huyo kula sana hii kitu unapata manii ya kumwaga .
 
Mkuu yayo jaribu kutumia vyakula vyenye uasili wake kama vile karanga mbichi, ndizimbivu,embe n.k
 
Pendelea kunywa chai maziwa yenye viungo badala ya sukari weka asali angala mara 3 kwa wiki.Rafiki yangu alitumia hivyo baada ya wiki nilimkuta kalala nikadhani alikuwa ameweka mshumaa kwenye bukta.
 
tangawizi + karoti + vitunguu saumu muda wa wiki utakuja kutoa majibu hapa na utakuwa kidume kabisa bila kusahau mazoezi ya viumgo,
 
Back
Top Bottom