LHD kauze Rwanda,Burundi,kwa tanzania tabu tupu
kaka iyo 113 for 55m kodi inalipwa na nani? nthen body zinapatikanaje?
Una matrela?
Asante sana kaka gari nzr sana nikileta wateja maji yapo?
Habari zenu, chagua Scania mojawapo katika hizo nakuletea mpaka Tanzania bei ni Tsh mil. 60 Scania 124 na Tsh mil. 55 Scania 113, ama kama unahitaji Scania 113 ndefu tuwasiliane nitakupatia, gari zangu huwa ni LHD.
View attachment 115221View attachment 115222View attachment 115223View attachment 115224View attachment 115225View attachment 115226View attachment 115227View attachment 115228View attachment 115229View attachment 115230View attachment 115231
mm nnazo Sliding Skeleton Trailer,14 Containers Locks,Drum/Shoe Brakes,Supersingle Tyres za mwaka 1999,zimelipiwa Ushuru wote, Hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, Zilikuwa zipo trela 8, sshv zimebaki 5, Zipo vikindu kama unataka kuziona. Bei $13500. Mawasiliano zaidi kwenye UKtoTZ@gmail.com. Picha zipo kama unataka kuziona.
Ziko poah mkuu Horse 124 kwa Mill.60 imeamka kidogo,,,Ikiwa complete pamoja na Trailler yake inakuwa ngapi ili tubaGen gari zote mbili Horse na Trailler