Chagua Scania 113/360, Scania 124/400 na Scania 124/420 ni LHD

Mfikilwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
408
116
Habari zenu, chagua Scania mojawapo katika hizo nakuletea mpaka Tanzania bei ni Tsh mil. 60 Scania 124 na Tsh mil. 55 Scania 113, ama kama unahitaji Scania 113 ndefu tuwasiliane nitakupatia, gari zangu huwa ni LHD.

T11.jpg T9.jpg T13.jpg T14.jpg T1.JPG T2.JPG T5.JPG h1.JPG h2.JPG h3.JPG h4.JPG
 
niko Bujumbura naweza kupata Tiper Dumper ni pm number yako tafadhali
 
baadhi ya truck zimeshawasili bandari salaama, karibuni kwa biashara namba 0783250540
 
mm nnazo Sliding Skeleton Trailer,14 Containers Locks,Drum/Shoe Brakes,Supersingle Tyres za mwaka 1999,zimelipiwa Ushuru wote, Hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, Zilikuwa zipo trela 8, sshv zimebaki 5, Zipo vikindu kama unataka kuziona. Bei $13500. Mawasiliano zaidi kwenye UKtoTZ@gmail.com. Picha zipo kama unataka kuziona.
 
Habari zenu, chagua Scania mojawapo katika hizo nakuletea mpaka Tanzania bei ni Tsh mil. 60 Scania 124 na Tsh mil. 55 Scania 113, ama kama unahitaji Scania 113 ndefu tuwasiliane nitakupatia, gari zangu huwa ni LHD.

View attachment 115221View attachment 115222View attachment 115223View attachment 115224View attachment 115225View attachment 115226View attachment 115227View attachment 115228View attachment 115229View attachment 115230View attachment 115231

Ziko poah mkuu Horse 124 kwa Mill.60 imeamka kidogo,,,Ikiwa complete pamoja na Trailler yake inakuwa ngapi ili tubaGen gari zote mbili Horse na Trailler
 
mm nnazo Sliding Skeleton Trailer,14 Containers Locks,Drum/Shoe Brakes,Supersingle Tyres za mwaka 1999,zimelipiwa Ushuru wote, Hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, Zilikuwa zipo trela 8, sshv zimebaki 5, Zipo vikindu kama unataka kuziona. Bei $13500. Mawasiliano zaidi kwenye UKtoTZ@gmail.com. Picha zipo kama unataka kuziona.

Mkuu zote ni Skeleton? Loose Cargo(Kichanja je) hauna kabisa?
 
mkuu bei yangu ni ya chini mnoo kwa 124, tembelea yard zote dar uulize 124 inauzwa ngapi, bei ya kununulia yangu na trailer, ndiyo watu wanauza horse tu. karibu

Back
Top Bottom