Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 811
CHADEMA kimeweza kufanya mikutano ya hadhara,kutatua migogoro mbali mbali ya viongozi na wanachama, kutoa kadi mpya 46000 katika mikoa 6 ya nyanda za juu kusini kwa kutembelea majimbo yote 37 katika mikoa hiyo,kata 224 na vijiji 457. Haya yote yalifanywa kwa ushirikiano wa timu 6-8 ziizotawanyika kila mkoa na jimbo walilofika kwa mujibu wa mratibu wa operesheni hiyo ndg Benson Kigaila.
My take: wanamageuzi tujitolee kuichangia cdm kwa hali na malia i.e fedha,vitu etc itufungue minyororo ya ukoloni wa ccm
My take: wanamageuzi tujitolee kuichangia cdm kwa hali na malia i.e fedha,vitu etc itufungue minyororo ya ukoloni wa ccm