Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,109
221,828
Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.

Screenshot_2024-02-14-23-49-57-1.png
Screenshot_2024-02-14-23-49-42-1.png
 
Ikibidi kesho wawapelekee moto hadi ofisi ya Mkuu Wa Mkooa haiwezekani maisha yanazidi kua magumu halafu Rais anakula bata Ughaibuni tu.
 
Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.

View attachment 2904291View attachment 2904320
Hali haita kuwa rahisi mpaka tutakapo towa vibaka madarakani. Yaani huwezi kuwa na mabilionea ambao hawazalishii wala kutengeneza kitu chochote halafu ukaitegemea eti uchumi wa nchi na maisha ya wananchi yatakuwa Mazuri! Yaani vibaka kama kina mwigulu, Makonda, Nape na wengine kama hao waishi kama mabilionea kwa kutumia kodi za wananchi masikini halafu maisha yawe rahisi, haiwezekani.
 
Ikibidi kesho wawapelekee moto hadi ofisi ya Mkuu Wa Mkooa haiwezekani maisha yanazidi kua magumu halafu Rais anakula bata Ughaibuni tu.
Wakati wabunge wa Sisiem wanaazimia kuwanunulia viongozi ndege nyingine, ili wawakoge wapiga kura wao!
 
Back
Top Bottom