Hapo mkuu unaonyesha JF ni ya chadema kitu ambacho sikiamini na umeenda mbele zaidi umeainisha wala ubwabwa wa bakwata (waislam) ni maadui wako. Angali sana unayoyaandika yanaweza yakawa na implictaions kwenye jamii.
Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.
hakunaaga kama dafaiza fox na ritz kwa ukweliii mtupu uliosimama hakunaaga,eh hakunaaga kama dafaiza na ritz hakunaaga,nisipokuona dafaiza na ritz hapa jf sina raha mwenzenu hakunaaga!Huu ni ukweli usiopingika.
ritz umenena kweli tupu,sasa namuomba mkuu mohd shossi malenga mkuu wa jf kitukuu cha siti bint saad ampe mashairi huyo anaekashifu islam na bakwata na ajue anaizika cdm kwa kuijengea chuki kwa waislam,kaka shossi tulikumiss sana hapa jamvini hebu tupe mistari kidogo ya kimalenga.Mkuu, ujue awa ndio wanaomualibia Dr.Slaa na Chadema mbele ya jamii ya kiislam
Mkuu, ulitaka kusema nini hasa katika haya maelezo yako yanayokanganya. Unazungumzia nguvu ya umma au mamalaka ya umma? Tafadhali fafanua.Wanabodi..Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema.."Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani
Mkuu, ulitaka kusema nini hasa katika haya maelezo yako yanayokanganya. Unazungumzia nguvu ya umma au mamalaka ya umma? Tafadhali fafanua.
Wanabodi..
Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..
Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.
Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..
Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..
"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"
Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..
Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.
Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..
Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.
Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.
Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani
Hoja yangu ni huwezi kuwa na wabunge 23 kisha ukasema una nguvu ya umma!
Ritz na FaizaFoxy nafikiri akili zenu ni sawa na inawezekana katika serikali hii nyie ni wana wafalme au mko humu katika kupinga kila kitu sioni kama mnachangia katika kulisaidia watanzania. Sana sana mko katika kupinga kila kitu hata siku moja hamleti hoja inayosaidia jamii zaidi ya kulinda. Jaribuni kuwa pande zote hata kama babaako, mamako au familia yako nzima wako kwenye serikali watetee na wanyonge. Fikiria kama ungekuwa ni wewe hata mlo wa siku kuipata shida ungekuwaje. msitetee tu kila jambo. Yana mwisho sijui hapo badae mambo yakibadilika mtasimama upande gani.
Ritz, kwa ufupi kabisa (kwa maneno yasiyozidi kumi) katika thread hii hoja yako ya msingi ni nini?
Wanabodi..
Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..
Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.
Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..
Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..
"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"
Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..
Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.
Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..
Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.
Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.
Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani
Kwamba Chadema hawana nguvu ya Umma tuifikiriyo!