Nguvu ya umma ndio kama hii ya Chadema, kisha umma wenye nguvu ndio kama Hamas

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,115
Nguvu ya Umma huwa inasomba tu kundi la Watu wanaojielewa na Wasiojielewa ila wanakuwa Wengi kweli kweli kama Mafuriko ya Lowassa akiwa Chadema 2015

Umma Wenye Nguvu ni Ule uliosheheni Watu Wenye Misimamo wasioyumba wala kuyumbishwa kama wale Wapalestina pale Gaza

Watanzania tuna fursa ya kujifunza Siasa za Kweli kwa yanayojiri Israel, Lebanon na Gaza

Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi 😄
 
Hamas ni kama Al Qaeda. Ndio maana Rais wa Palestine Mahmoud Abbas amekataa maamuzi ya Hamas kufanya ya wapalestina.
 
Back
Top Bottom