CHADEMA yatambua mamlaka ya umma ni nini

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,973
32,368
Wanabodi..

Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..

Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.

Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..

Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..

"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"

Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..

Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.

Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..

Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.

Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.

Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani
 
kumbe nihuyu mwanaupupu???napita!
 
Peleka upupu wako kwa wajinga wenzako!

Hana lolote huyu..atasalim tu amri JF ..at first Mwita alikua kama huyu..sema Ritz hajui kingereza kile cha mwita..maana ile ngeli nikisomaga huwa natabasamu maana nahisi alikua ana Oxford dictionary pembeni..tatizo la Ritz hajaenda shule..ye ubwa bwa na kukesha

Baada ya kufikiri saana na kushirikisha na MASABURI,ukaona ulete thread ya KIPUUZI hivi.Sasa wewe jidanganye na hao wenzio wenye akili kama zako,na time ikifika if not soon jibu mtalipata.
 
mmmm sina imani na wewe? nani kakutel mnyika ni naibu katibu mkuu? by the way sijaelewa kama ulichoandika ni swali,au taarifa.
 
Wanabodi..

Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..

Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.

Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..

Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..

"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"

Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..

Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.

Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..

Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.

Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.

Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani

Kama ni hoja basi hajaeleweka. Andika vizuri hoja yako.
 
Hebu tulia kidogo walau ukajiachie japo ka-kijinafasi ka kumeza japo hata ki-mate Ritz, mbona mfululizo hivo wakati unajua kila unachokisema hapo chini ni BURE KABISA NA WALA HAMNA KITU HUMO?

Hayo ni makosa kwa uchache tu hapo kwenye text yako achilia mbali 'unconnected thinking' uliouonyesha na vile vile kuandika kama mtu ambaye unakaribia kuachwa na daladala vile.

Tulia, take your time na ukiwa na hoja wala USIPIGE KELELE KIHIVI kwani hoja yako itajieleza yenyewe tu.

Wanabodi..

Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..

Ingi(a)wa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.(,) sSuala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..

Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..

"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"

Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..

Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.

Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..

Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.

Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.

Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani
 
Hana lolote huyu..atasalim tu amri JF ..at first Mwita alikua kama huyu..sema Ritz hajui kingereza kile cha mwita..maana ile ngeli nikisomaga huwa natabasamu maana nahisi alikua ana Oxford dictionary pembeni..tatizo la Ritz hajaenda shule..ye ubwa bwa na kukesha

Leo ndio nimeamini ng'ombe hata wachinjwe vipi hawawezi kuisha..
Wewe mtu yoyote akiongea kingereza ni msomi siku ukifika London au Scotland, Liverpool, Milton Keynes, Ireland..

Utakuja kutuambia hizo nchi zimejaa wasomi watupu hadi watoto wadogo wa miaka 5 wanaongea kingereza ni wasomi
 
Hakunaga zaidi yangu mimi na Chadema, hahunaga bhanaaaaaa.....
Baada ya kufikiri saana na kushirikisha na MASABURI,ukaona ulete thread ya KIPUUZI hivi.Sasa wewe jidanganye na hao wenzio wenye akili kama zako,na time ikifika if not soon jibu mtalipata.
 
Hakunaga zaidi yangu mimi na Chadema, hahunaga bhanaaaaaa.....
Baada ya kufikiri saana na kushirikisha na MASABURI,ukaona ulete thread ya KIPUUZI hivi.Sasa wewe jidanganye na hao wenzio wenye akili kama zako,na time ikifika if not soon jibu mtalipata.
 
Samahani, nimekosea jukwaa! Nilitaka kuingia la siasa bahati mbaya nimejikuta kwenye story ya udaku!
 
Wanabodi..

Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..

Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.

Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..

Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..

"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"

Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..

Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.

Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..

Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.

Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.

Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani

Huu ni ukweli usiopingika.
 
Ritz, hakuna hata mmoja katika hawa magwanda wooote ataekuja hata na nusu jibu ya hoja yako, hawana hawana hawana, siku nyingine usiwashushie nondo nzito namna hii: imenikumbusha Mohamed Said akimnukuu Maalim wake:

"dalili ya kwanza ya mtu kushindwa ni ukali na lugha zisizokuwa (za) kiungwana. Dalili ya pili ni kukutukana kabisa."
Mohamed Said
 
Hana lolote huyu..atasalim tu amri JF ............

Hapo mkuu unaonyesha JF ni ya chadema kitu ambacho sikiamini na umeenda mbele zaidi umeainisha wala ubwabwa wa bakwata (waislam) ni maadui wako. Angali sana unayoyaandika yanaweza yakawa na implictaions kwenye jamii.
 
Wanabodi..

Mara kwa mara wanademokrasia, au wanaojifanya kuwa wanademokrasia hupenda kukumbusha kuwa umma ndio wenye mamlaka ya mwisho katika utawala..

Ingiwa usemi huu una maana zaidi katika tawala za kidemokrasia.

Suala la umma kuwa na mamlaka halitegemei mitazamo ya kisiasa bali ni ukweli usiobishaniwa, hakuna utawala unaoweza kudumu ukikataliwa na umma..

Kauli mbiu ya Chadema kuwa wana nguvu umma, jana Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, kasema..

"Chadema hatupo tayari kufanya maandamano tena kwani si suluhusho la matatizo ya watanzania"

Ni kweli alichosema Mnyika huwezi kuwa na Wabunge 23 ukasema una nguvu ya umma..

Kiitwacho nguvu ya umma, sio kingine isipokuwa mtazamo na muelekeo wa pamoja wa umma.

Mtazamo huo unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, uliopatikana kwa amani au kwa vita kwa uwazi au kwa ghiliba..

Mifano tumeona Tunisia, Syria, Misri, Yemeni, Libya. Hakuna chama siasa kilichoongoza nguvu ya umma.

Siku hizi kuna kawaida ya kufanya migomo, maandamano, na mashindikizo kwa madai ya kutumia nguvu ya umma.

Hiyo sio nguvu umma bali ni nguvu ya kikundi kinachojaribu kutikisa nguvu ya umma iliyopo madarakani

mbona alisema pia wamesitisha maandamano mpaka kikao cha bunge kijadili waliotaka kukubaliana na jk. ila kwa mbwembwe jk kasaini na wao wakishuhudia.

wazo kama mnaona jk ni kigeugeu basi fanyeni kama deus kibamba kuuza sura kwenye tv basi maana mitanzania ilishakata tamaa ya kujitegemea..

karibuni sport na MK
 
Leo ndio nimeamini ng'ombe hata wachinjwe vipi hawawezi kuisha..
Wewe mtu yoyote akiongea kingereza ni msomi siku ukifika London au Scotland, Liverpool, Milton Keynes, Ireland..

Utakuja kutuambia hizo nchi zimejaa wasomi watupu hadi watoto wadogo wa miaka 5 wanaongea kingereza ni wasomi

Makuli na machokoraa wa Nairobi wanaongea kingereza tena kizuri tu!
 
Ritz, kwa ufupi kabisa (kwa maneno yasiyozidi kumi) katika thread hii hoja yako ya msingi ni nini?
 
Back
Top Bottom