CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

michango ya wabunge? jimbo la Kilimanjaro? Dk slaa ndio mfunguzi?Mbowe atakuwa mtoa hotuba Ijumaa, Ni habari nzuri kwa jamii ya kiislam. mbowe ndani ya imani mpya

John Mnyika atakuwa mpiga adhana.

kazi kweli kweli. Chadema ndani ya Strategy za kutaka kuwalaghai waislam.

Poleni sana.

 
mtanzania huandika umbea. Yale ya msingi ya waislam huyaficha. Swali kwa chadema. Kwanini wanaungana na makanisa bungeni kupinga oic?

OIC inaenda kinyume na katiba ya nchi na sio CDM tu wanaopinga hata CCM wanapinga na kama unabisha waulize mbona hawajatumia wingi wao kupitisha huo uamuzi wa kujiunga oic?
 
Kwa takwimu zisizo rasmi. Katika Tanganyika inakadiriwa waislam na wakristo ni 50% each. Na ukisema kwa Tanzania waislam wanafika 54% na wakristo ni 46%.

Kumbuka unaposema wakristo kuna wakatoliki na wengine (protestant) ambao ni 58%.

Hizo ni takwimu zisizo sahihi kwa sababu TZ bado haijawa na takwimu rasmi za watu since hakuna sensa iliyofanyika miaka 5 iliyopita.


Unajidhalilisha mwenyewe unapotoa takwimu zako halafu unamalizia kusema takwimu hizi si sahihi.Umejionyesha wewe ni mtupu bro.
 
hahahahha. posho za wabunge hizo.ok any way Chadema kama kweli huo si unafiki watueleze kwanini wanaungana na makanisa kupinga OIC na mahakama ya kadhi? huku makanisa yakinufaika na vertican?


UKIONA COMMENTS ZA OVYO JF JUU YA UISLAM NA WAISLAM NI MWANACHADEMA TU :REDIO IMANI YA MOROGORO

MS hivi Radio Imani nao wanaingia humu kumbe..aaaahhaaahh kweli JF ipo juu...tupe ID yao basi tuwajue au wanajificha wasijulikane?
 
ANGALIZO:-Tafadhali baadhi ya wana jf, hii ni mada nyeti hivyo tuepuke kutumia masaburi katika kufikiri,ningependa tutumie ubongo.
Cdm ni chama muhimu kwa afya na ustawi wa Tanzania.Achaneni na mambo ya udini ,cdm ni chama cha watanzania wooote!
 
John Mnyika atakuwa mpiga adhana.

kazi kweli kweli. Chadema ndani ya Strategy za kutaka kuwalaghai waislam.

Poleni sana.


achakua na Fikra fupi kama magego,chadema ni chama cha watanzania wote.
Welcome mkuu!
 
angalizo:-tafadhali baadhi ya wana jf, hii ni mada nyeti hivyo tuepuke kutumia masaburi katika kufikiri,ningependa tutumie ubongo.
Cdm ni chama muhimu kwa afya na ustawi wa tanzania.achaneni na mambo ya udini ,cdm ni chama cha watanzania wooote!

bila shaka katiba yetu hairuhusu chama cha siasa chenye sera za udini au dini, lakini kuna ushahidi mkubwa wa kimazingira unaothibitisha kuwa chama hiki kina harufu ya udini !!!!
 
Chadema bana, wanadhani watatuhadaa. kama kweli sio wanafiki mbona kimya kuhusu MOU? yangalifanyika k wa waislam dk slaa na wenziwe ungalisikia wanavyotoka kipovu bungeni Kuhoji. lkn kwa kuwa lao aaaaaaaaaaaa. wacha tu wafaidi wenzetu hawa

Punguza ujinga basi' swala la MOU limeshajadiriwa kwa kina na wamwisho kulijadiri kwa siku za hv karibuni ni Sheikh mkuu wa Dar es salaam' sasa sijui umeshindwa kuelewa nini wewe jamaa!
 
Ndugu zangu hapa ndipo huwa tunapopotea kama taifa na kama mambo haya yangelianza mara tu baada ya uhuru, Tanzania isingelikuwepo hivi sasa! Ni jambo la kusikitisha kuona mtu anafurahia kwa kuuwawa wenzake huku akijidanganya kuwa anamtafuta Mungu, huwezi kumtafuta au kumwabudu Mungu kwa kuuwa wanadamu wenzako na hammna dini inayofundisha hivyo, si uislam wala ukristu, wanaofanya hivyo wanatumiwa na shetani bila kujijua!

Tuangalie mstakabali wa taifa letu, serikali inayowajibika kwa wote kwa maslahi ya kizazi cha leo na miaka ya mbeleni! Umasikini hauchagui wewe ni mwislamu au Mhindu, mpagani au Mkristo! Kimsingi we are all sailing in the same boat,once the boat starts to sink nobody can serve! Mtu anayechaguliwa au kupewa kura kwa kuingia mikataba na vikundi vya dini hafai kuwa kiongozi na matunda ya namna hii bado mnayaona kwa chama kuweka ilani za kidini katika sera zake. Waumini wote mnaoamini katika Mungu mmoja ninachowasihi ni kutoingiza masuala ya dini katika mambo ya kisiasa, they are two inompartible things ndo maana akina Mitume wakazaliwa na ili wawakomboe wanadamu ilibidi wawe chini ya sheria ambazo ni za kisiasa lakini hazingeweza kuwakomboa wanadamu! Matatizo yanayoisibu dunia ya leo ni kwa sababu ya watu kutaka kufanya dini kama siasa na kujikuta nguvu kubwa inaelekezwa kwa mambo ya kishetani zaidi kuliko ya Kimungu!
 
msikiti sidhani kama huu utakuwa swafi tangu lini muisraeli, mmarekani(kafir),muingereza(kafiri) cameroon shoga pig, hata haikubaliki daima simahala pazuri hapo kamwe siwezi kuswali, unadanganywa kwa pipi au utamu wa bazooka, danganya toto, upuuzi jiografia na historia ya eneo hilo tosha kutambua changa la macho wakajenge kilwa huko au bagamoyo kama wamaana. Hatudanganyiki na pesa za cameroon eti mkisingizia wabunge. Sito shawishika kufurahia swala hilo. Watu wanadiriki kuutukana uislam eti leo awe rafiki. Tunawaona viongozi hao wakitukana uislam kwenye kesi ya mvuliwa hijabu tabora mahakamani ana utusi uislam huyo ni kiongozi bungeni eti nidham hata matendo yake nidham hayana.
 
bko haramu sawa na NATO . Nato inaua waislam bokoharamu linaua wakiristo. ngoma droo
Siku Utakayoona watu wote wakula nguruwe ndiyo utaamini kuna evolution ya binadamu pole sana kwa kukumbatia uislam na kusahau utu wako wewe ni muumini hewa=hakuna=o unafurahia mauaji ya binadamu mwenzako
 
Q2:14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.

Phillipians 4:13...

I can do all things through Him who strengthens me.
 
bila shaka katiba yetu hairuhusu chama cha siasa chenye sera za udini au dini, lakini kuna ushahidi mkubwa wa kimazingira unaothibitisha kuwa chama hiki kina harufu ya udini !!!!

Bila shaka utakua umefananisha chama, basi nakuomba uweke ushahidi huo hadharani wana jf wauone, tafadhari mkuu!
 
"Umesema CDM wasijidanganye kuwajengea Waislam Misikiti ili wapigiwe kura 2015" Swali langu kwako wewe MDINI je hivi unajua Waislamu ni % ngapi ya waTz 45 million? Acha kuropoka na kung'ang'ana na Udini utawafikisha pabaya sana

sema wewe waislam asilimiangapi na wewe usilopoke tu msikiti kitu kidogo unatudanyishia waislam halafu kwenye maeneo ya wakristu huko moshi tunatambua asilimia 90 wakristo huo msikiti utakuwa na waumini wangapi wakiislam wengine ni wakristo
 
Back
Top Bottom