Uwanja wa nyumbani huo.
Njooni ugenini tuwaonyeshe. Poor CDM
Tusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa. CCM ni chama cha ushindi. Ukiwa ndani ya CCM upo kwenye winning side.Nyumbani na ugenini ni wapi? Kwa hiyo kwenu kuchagua CCM ndio kuwa nyumbani! Enyi mnaodanganyika na CCM bora hata mngewapa hizo kula zenu hao CUF wanatembeza midomo
Uwanja wa nyumbani huo.
Njooni ugenini tuwaonyeshe. Poor CDM
Chama cha Msimu! Du! by J.K. Mtu ukishaelemewa unaongea lolote!
Uwanja wa nyumbani huo.
Njooni ugenini tuwaonyeshe. Poor CDM
pesa ya kuhonga imeishia igungauwanja wa nyumbani huo.
Njooni ugenini tuwaonyeshe. Poor cdm
Tusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa. CCM ni chama cha ushindi. Ukiwa ndani ya CCM upo kwenye winning side.
Mkuu kumbe ccm nayo kuna viwanja wanakuwa ugenini!?
Jana tarehe 23/10/2011 katika chaguzi zilizofanyika katika vijiji vitatu vya Bermi, Bonga na Endabeg, CHADEMA wamenyanyuka kidedea. Katika Vjiji vyote vitatu wagombea wa CHADEMA wamechaguliwa katika nafasi wa ueneykiti. Uchaguzi huo ulifanyika katika vijiji vilivyotajwa hapo juu, vijiji ambavyo vipo katika wilaya ya Babati - Mkoa wa Manyara.Hongera CHADEMA