Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,516
- 1,865
Watanzania hatutaki kusikia mambo ya muungano wa vyama, chama chenye hoja za mshiko ndo tunataka kiongoze nchi , kusudi vyama vilivyo shindwa kuongoza kwa miongo kadhaa kikae pembeni, hii mnataka kuchanganya wananchi hatimaye tuendelee kubeba watu walio haribu taifa.
Chadema ongoza mapambano manake taifa halijui litokeje kwenye kugushi matumiz ya taifa, na matokeo yake tuko kwenye hali hii:
Mchele kilo 1,600
mafuta lt 2,043
mbaya zaidi watu siku hizi wanakula mlo mmoja.
Chadema acha mzaha sisi tunataka kudai haki zetu na si vinginevyo