ndikulonda
JF-Expert Member
- Jul 20, 2014
- 390
- 185
Wakati wote ccm wanataka kuuvunja umoja wa Ukawa kwa njia yoyote ile ili waendelee kuongoza lakini imeshindwa. Jinsi walivyo wajinga wanafikiri wananchi hawajui kwamba ACT ni tawi la CCM hivyo CCM wanataka kujipenyeza ndani ya Ukawa kwa jina la ACT.Hawawezi kufanikiwa na inaelekea itabaki na ujinga huu hadi itakapotimuliwa ikulu.