CHADEMA yaisambaratisha CCM Chato

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM Wilfred Lwakatare ameongoza mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika viwanja vya S/M Chato na kuwavua gamba viongozi na wanachama wa CCM wapatao 80.Kati ya waliojivua Gamba ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Mzumbe Dr.Benedicto Lukanima ambaye alishika nafasi ya pili kwenye kura za maoni kugombea ubunge kupitia CCM nyuma ya Dr Magufuli.
Wengine waliojitoa CCM ni mjumbe wa mkurano mkuu UVCCM,wenyeviti wa vitongoji na wa serikali za vijiji.Wachunguzi wa mambo ya kisiasa mkoani hapa wanadai kwa sasa jimbo la Chato ni ngome kuu ya CDM.

Source:Tanzania Daima Jumapili.
 
Peeeeopleee's poweeeeer!mapinduzi daima,jinsi gani watanzania wanajiandaa kuzika ccm 2015
 
Chato? Nadhani badala ya kupoteza muda mngejipanga na wanasheria wenu kuwa saidia wauaji wenu.
 
CDM bado kaz ni nzito sana...
Endeleeni tu kujibaraguza hapa JF cuz huu ndio uwanja wenu pamoja na gazeti lenu la TZ Daima. CCM inajua inachokifanya. Hawafanyi mambo kwa kurupuka kama CDM wala hawaitaji kujitangaza humu kila siku.

Aliyoyafanya Mangufuli Chato sidhani kama ana mpinzani yoyote anaweza kuyafanya. Kwa kifupi Chato hapaingiliki.

Ushauri wangu kwenu CDM, endelee kujiimarisha Arusha, Moshi mjini, Mbeya mjini na Iringa. Tumieni resources zenu kidogo mlizo nazo kutoka kwa Sabodo kufanya mikutano huko. Huko kwingine hampawezi!!!!
 
Rejao mkuu mawazo ya kimburukenge haya yaliyo jaa ubaguzi mbona yanakupumbaza sana .Leo unatamka Iringa unasahau Mara , Mwanza , Dar ,Singida, Shinyanga nk wewe umekalia ndoto au huamini kwamba watanzania wamesha amka
 
CDM bado kaz ni nzito sana...
Endeleeni tu kujibaraguza hapa JF cuz huu ndio uwanja wenu pamoja na gazeti lenu la TZ Daima. CCM inajua inachokifanya. Hawafanyi mambo kwa kurupuka kama CDM wala hawaitaji kujitangaza humu kila siku.

Aliyoyafanya Mangufuli Chato sidhani kama ana mpinzani yoyote anaweza kuyafanya. Kwa kifupi Chato hapaingiliki.

Ushauri wangu kwenu CDM, endelee kujiimarisha Arusha, Moshi mjini, Mbeya mjini na Iringa. Tumieni resources zenu kidogo mlizo nazo kutoka kwa Sabodo kufanya mikutano huko. Huko kwingine hampawezi!!!!
Mkuu umesahau Kigoma, mwanza, mara na simiyu pamoja na katavi.
 
CDM bado kaz ni nzito sana...
Endeleeni tu kujibaraguza hapa JF cuz huu ndio uwanja wenu pamoja na gazeti lenu la TZ Daima. CCM inajua inachokifanya. Hawafanyi mambo kwa kurupuka kama CDM wala hawaitaji kujitangaza humu kila siku.

Aliyoyafanya Mangufuli Chato sidhani kama ana mpinzani yoyote anaweza kuyafanya. Kwa kifupi Chato hapaingiliki.

Ushauri wangu kwenu CDM, endelee kujiimarisha Arusha, Moshi mjini, Mbeya mjini na Iringa. Tumieni resources zenu kidogo mlizo nazo kutoka kwa Sabodo kufanya mikutano huko. Huko kwingine hampawezi!!!!
Mpka pua itadondoka yenyewe. Suburi tu.
 
wewe tunakujua sana kuwa umewekwa na Nape humu ili kulinda ugali wenu.
 
kwenda zake Magufuli na nyumba za Serikali alizojiuzia za Bwiru! We are watching! Kazi kukariri mpaka ndoto unaota kwa sauti ma kilomita tu
 
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM Wilfred Lwakatare ameongoza mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika viwanja vya S/M Chato na kuwavua gamba viongozi na wanachama wa CCM wapatao 80.Kati ya waliojivua Gamba ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Mzumbe Dr.Benedicto Lukanima ambaye alishika nafasi ya pili kwenye kura za maoni kugombea ubunge kupitia CCM nyuma ya Dr Magufuli.
Wengine waliojitoa CCM ni mjumbe wa mkurano mkuu UVCCM,wenyeviti wa vitongoji na wa serikali za vijiji.Wachunguzi wa mambo ya kisiasa mkoani hapa wanadai kwa sasa jimbo la Chato ni ngome kuu ya CDM.

Source:Tanzania Daima Jumapili.

Hayo ndio ukisikia magamba, yanapukutika yenyewe. Huyo kajuwa hana ubavu kwa Magufuli nae ana uchu wa madaraka, afanye nini? shortcut ni kuvaa gwanda, kama Slaa. Sishangai baada ya siku mbili tatu nikasikia ni mgombea Urais kupitia magwanda.
 
Back
Top Bottom