CHADEMA yaingia Marekani

Supposedly Lazaro Nyalandu si hatakiwi kwenda Marekani....sasa iweje hivi sasa yupo District of Columbia?
 
njoeni makamanda.Tunawasifu kwa kutufumbua macho.hata vasco da gama sasa yupo hoi.kila naloshika alishikiki.Mje tukae tupange mikakati ya maendeleo ya taifa letu.Na sio hao Mafisadi.Wameweka watu kwenye blogs na mitandao kujikosha lakini tunawazibiti kweli kweli,wameshindwa kwani ukweli upo pale pale.kwanza wavue gamba[kobe]alafu watufuate kama wanaweza
 
kama kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni akumbuke kuja na jibu kwa nini wanatulazimisha ushoga
 
Dr. Barubaru,
Acha uwongo ndugu yangu. Leticia kisharudi Tanzania siku nyingi. Mara ya mwisho nimemuona hapa ilikuwa kwenye mkutano wa DICOTA. Anyways, that is not the issue, nataka kuwathibitishia kuwa makamanda wetu Freeman Mbowe na Wenje wamewasili salama
hapa Washington D.C

Wamekaribishwa na senators wa Marekani na kesho wanashiriki kwenye prayer breakfast ambapo wabunge wa Marekani hualika wabunge wa nchi mbalimbali. Pamoja na makamanda wetu yupo pia Lazaro Nyalandu, naibu waziri wa viwanda na kazi.

Rais Obama atakuwepo kwenye prayer breakfast lakini kwa sasa hakuna hakika kwamba atakutana na wageni wetu. Kilichonishangaza ni kwamba ubalozi wetu haukuwa na habari za kuwasili kwa wageni hawa na waziri Nyalandu amelazimika kujitegemea mwenyewe alipowasili Dulles Airport.

Kuhusu mkutano na Watanzania Kamanda Wenje ana shauku kubwa kukutana nao, tunajaribu kuandaa kikao jumamosi na kwa kuwa hii ni mara yake ya kwanza hapa Marekani itakuwa vizuri kama Watanzania watapata fursa za kukutana na wabunge wetu.

Kama kutakuwepo na lolote jipya nitawaarifu kesho kama saa hizi.

Kama Rais Obama, hatakuwepo kwenye prayer breakfast sisi watanzania itatusaidia nini?
 
Mnataka mpeleke makamanda wenye magamba? ha ha ha
Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na kupokea maswali mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Aliye na taarifa zaidi atujulishe ili tupeleke makamanda wetu huko Washington DC.
 
na mwenyekiti wa magamba yeye kampeni kamwachia nani acha unafiki wewe
 
mbowe amekwenda marekani kama mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na sio ruzuku ndogo sana wanayopata chadema ndio imemfanya aende huko acha mawazo mgando shoga wewe.mbona mmeshtuka sana kwa hivyo vijimambo tu .kusoma hujui hata picha hujui kuangalia.
 
mjinga wewe unafananisha safari za jk na mbowe?inaonekana huna la kusema bora ukae kimya.hata kiziwi anajua jk amesafiri mara ngapi.juzi tu alikuwa russia na huku kwake watanzania wanakufa kwa mgomo wa madaktari hana habari na hilo anakwenda kwenye mkutano wa uchumi unatusaidia nini sie wakati kila siku aheri ya jana hebu amkeni watanzania mpaka lini ??????????????????
 
sawa shoga atakuletea majibu yako ili uendeleze ushoga wako maana waliokataa wamekuudhi kweli unatafuta ahueni yako kwa chadema kwani unadhani watasema tofauti,we toa tigo yako tu itakulipa bila hata kupitisha sheria.POLE KIONGOZI WA MASHOGA TANZANIA TUNAKUJUA HATA WANAOKUWEZESHA.TUNAANGALIA MUSTAKABALI WA NCHI YETU NA SIO WAKO WEWE MTU MMOJA HASA YA STAREHE ZAKO,
 
Back
Top Bottom