CHADEMA yaingia Marekani

Halafu kampeni uzini kamuachia nani?au amekata tamaa baada ya kupata mapokezi yasiyostahili juzi?mwambieni ndio siasa asipende siasa za kubebwa juu juu kama jeneza kila siku!

Huku ukizidi kutoka mapovu na pressure kukupanda CDM wanazidi kuteka vijiji vya Uzini
 
Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na kupokea maswali mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Aliye na taarifa zaidi atujulishe ili tupeleke makamanda wetu huko Washington DC.

hii habari nzuri sana mwanga unazidi kuliangazia taifa la Tanzania
 
Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na kupokea maswali mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Aliye na taarifa zaidi atujulishe ili tupeleke makamanda wetu huko Washington DC.

Si jambo geni huko kwani Mh Leticia Nyerere anaishi hapo Maryland, silver spring . Pasi na shaka yeye ndie atakuwa mwenyeji wake.

Mbunge huyu anakuja Tz wakti wa vikao va bunge tu na vikiisha anarudi DC.

Dr. Barubaru,
Acha uwongo ndugu yangu. Leticia kisharudi Tanzania siku nyingi. Mara ya mwisho nimemuona hapa ilikuwa kwenye mkutano wa DICOTA. Anyways, that is not the issue, nataka kuwathibitishia kuwa makamanda wetu Freeman Mbowe na Wenje wamewasili salama
hapa Washington D.C

Wamekaribishwa na senators wa Marekani na kesho wanashiriki kwenye prayer breakfast ambapo wabunge wa Marekani hualika wabunge wa nchi mbalimbali. Pamoja na makamanda wetu yupo pia Lazaro Nyalandu, naibu waziri wa viwanda na kazi.

Rais Obama atakuwepo kwenye prayer breakfast lakini kwa sasa hakuna hakika kwamba atakutana na wageni wetu. Kilichonishangaza ni kwamba ubalozi wetu haukuwa na habari za kuwasili kwa wageni hawa na waziri Nyalandu amelazimika kujitegemea mwenyewe alipowasili Dulles Airport.

Kuhusu mkutano na Watanzania Kamanda Wenje ana shauku kubwa kukutana nao, tunajaribu kuandaa kikao jumamosi na kwa kuwa hii ni mara yake ya kwanza hapa Marekani itakuwa vizuri kama Watanzania watapata fursa za kukutana na wabunge wetu.

Kama kutakuwepo na lolote jipya nitawaarifu kesho kama saa hizi.
 
hapa Washington D.C. Wamekaribishwa na senators wa Marekani na kesho wanashiriki kwenye prayer breakfast ambapo wabunge wa Marekani hualika wabunge wa nchi mbalimbali. Pamoja na makamanda wetu yupo pia Lazaro Nyalandu, naibu waziri wa viwanda na kazi. Rais Obama atakuwepo kwenye prayer breakfast lakini kwa sasa hakuna hakika kwamba atakutana na wageni wetu. Kilichonishangaza ni kwamba ubalozi wetu haukuwa na habari za kuwasili kwa wageni hawa na waziri Nyalandu amelazimika kujitegemea mwenyewe alipowasili Dulles Airport. Kuhusu mkutano na Watanzania Kamanda Wenje ana shauku kubwa kukutana nao, tunajaribu kuandaa kikao jumamosi na kwa kuwa hii ni mara yake ya kwanza hapa Marekani itakuwa vizuri kama Watanzania watapata fursa za kukutana na wabunge wetu. Kama kutakuwepo na lolote jipya nitawaarifu kesho kama saa hizi.

Usikurupuke kuwa na uhakika na unachokiandika.

Mimi nilimwona DC wiki tatu baada ya mkutano wa Dicota ambao Kikwete alikuja. Kumbuka kuwa watoto wangu wapo huko Silver spring wanasoma na kila miezi mitatu nikipata likizo fupi mara nyingi nafika kuwasabahi.

Sasa unaposema amehamisha makazi yake huko toka lini? Kumbuka anakuja huko Tz kuhudhuria vikao vya bunge tu baada ya hapo anarudi DC.

Acha ushabiki , chunguza kisha lete jibu kama hu msema kweli.

Ndiyo, alikuwepo hapa kwenye mkutano wa DICOTA na alikaa kwa muda lakini sasa hivi tunavyoongea hapa Leticia yuko Bongo. Ni kama wewe unavyokuja kuwaona watoto wako na yeye ana watoto wake wakubwa hapa lakini usituaminishe kuwa anakwenda Bongo kwa ajili ya vikao vya bunge na muda wake mwingi yuko hapa. It is vise versa.
 
Usikurupuke kuwa na uhakika na unachokiandika.

Mimi nilimwona DC wiki tatu baada ya mkutano wa Dicota ambao Kikwete alikuja. Kumbuka kuwa watoto wangu wapo huko Silver spring wanasoma na kila miezi mitatu nikipata likizo fupi mara nyingi nafika kuwasabahi.

Sasa unaposema amehamisha makazi yake huko toka lini? Kumbuka anakuja huko Tz kuhudhuria vikao vya bunge tu baada ya hapo anarudi DC.

Acha ushabiki , chunguza kisha lete jibu kama hu msema kweli.

Kama kweli hii noma, si mbunge huyo dada/mama jamani?
 
jamani ccm imebakia pua tu ,washazama,Mafisadi hao.na ni ma profesa wa kimatonya duniani.Wanavaa suti na kwenda kuomba nje ,huku ana dhahabu na mali nyingi mfukoni .shame on you chama cha mafisadi.KAMA M WEWE MJANJA VUA GAMBA TUONE?.ALIVULIKI HILO GAMA.NI GAMA LA KOBEEEEEEEEEEEEE,HAHAHAHAHAAAAAA.
 
Dr. Barubaru,
Acha uwongo ndugu yangu. Leticia kisharudi Tanzania siku nyingi. Mara ya mwisho nimemuona hapa ilikuwa kwenye mkutano wa DICOTA. Anyways, that is not the issue, nataka kuwathibitishia kuwa makamanda wetu Freeman Mbowe na Wenje wamewasili salama
hapa Washington D.C

Wamekaribishwa na senators wa Marekani na kesho wanashiriki kwenye prayer breakfast ambapo wabunge wa Marekani hualika wabunge wa nchi mbalimbali. Pamoja na makamanda wetu yupo pia Lazaro Nyalandu, naibu waziri wa viwanda na kazi.

Rais Obama atakuwepo kwenye prayer breakfast lakini kwa sasa hakuna hakika kwamba atakutana na wageni wetu. Kilichonishangaza ni kwamba ubalozi wetu haukuwa na habari za kuwasili kwa wageni hawa na waziri Nyalandu amelazimika kujitegemea mwenyewe alipowasili Dulles Airport.

Kuhusu mkutano na Watanzania Kamanda Wenje ana shauku kubwa kukutana nao, tunajaribu kuandaa kikao jumamosi na kwa kuwa hii ni mara yake ya kwanza hapa Marekani itakuwa vizuri kama Watanzania watapata fursa za kukutana na wabunge wetu.

Kama kutakuwepo na lolote jipya nitawaarifu kesho kama saa hizi.

Naona mnaandaliwa fungu la kuanzisha mapinduzi Tanzania kwa msaada wa NATO..

Maana msaada wa NATO hakuna kitu mtaweza; NTC on making lol
 
Nilidhani wako Bungeni kipindi hiki, au? Kiongozi wa upinzani bungeni anakwenda Marekani wakati bunge linaanza?
 
Back
Top Bottom