Chadema Yafanya Kufuru, Yavuna Wanachama 31,337 Morogoro!

Ni wiki mbili tuu za M4C, imagine mpaka 2014 itakuaje? Naamini Hata JK atavaa gwanda Kama hajarudisha kadi basi atakuwa apolo India...
 
Nafikiri mwandishi wa hili Gazeti la Tanzania Daima ni mshabiki tu.

Nafikiri anahitaji kujua Si wanachama wote wana utashi wa kupiga kura. Lakin vile vile Tanzania sio kosa kisharia mtu kuwa na Kadi za vyama vya siasa zaidi ya moja.
Na akumbuke kuwa sharia za Tanzania zinaruhusu hata mtu asie mwanachama wa chama chochote cha siasa kuweza kupiga kura kwenyye uchaguzi mkuu.

Cha muhimu ni kueneza ilmu ya Uraia kwa wananchi ili waone umuhimu wa kupiga kura na kuchagua kile wakitakacho.

Huo ni msaada wangu kwa mwandishi huyo ambaye ni mshabiki.
Hapo kwenye RED unazungumzia nini? sijakupata yakhe!
 
Sasa Kazi ni moja tu. Twende mbele tuikomboe nchi yetu. Tuenedelee kuelimisha wananchi wadai haki zao bila woga.
 
Hivi hali ipi? hiyo ya kujazana majobless kwenye mikutano? nyie jitahidini sana, lakini bado. Hamna uongozi, ngoja uone watakavyoanza kutoana macho kwa fedha huko, ndio utaniambia. Josephine kisha anza kumtumia mzee kukopa.


Kama mikutano ya CDM waanajaa majobless na ccm wanajaa nani, au kwa sababu siku hizi hamjazi watu, na hao jobless ni zao la nani kama sio magamba, unadhani kuna mtu anapenda kuwa jobless? sina uhakika kama josephine amemtumia mzee kukopa, kwa hiyo silizungumzii, ndugu yangu zomba geuza moyo wako ujivue gamba tu, kama ni hizo hela unalipwa kwa kutetea uovu hapo kidogo itakuwa shida, lakini kwa taarifa yako mambo yamebadilika mkuu, unazungumziaje mweleka wa Kafumu naomba maoni yako tafadhali. (Kwa roho safi)
 
Hivi hali ipi? hiyo ya kujazana majobless kwenye mikutano? nyie jitahidini sana, lakini bado. Hamna uongozi, ngoja uone watakavyoanza kutoana macho kwa fedha huko, ndio utaniambia. Josephine kisha anza kumtumia mzee kukopa.

kwani kwenye slogan ya ari mpya kasi mpya hawa majobless si kulikuwa na kazi milioni moja kwa ajili yao au magamba wamesahau?
 
kwani kwenye slogan ya ari mpya kasi mpya hawa majobless si kulikuwa na kazi milioni moja kwa ajili yao au magamba wamesahau?

Mbona kazi ni zaidi ya hizo millioni moja zilizoibuliwa, tena zaidi sana kupita kiasi hicho kwa mara 3.
 
CCM kama kitawasikiliza wazee wake, kinaweza kuachia ngazi kabla ya 2015. Kikwete yu radhi kuachia ngazi, tatizo ni wale wapambe, akina "liwalo na liwe kwani tunapoteza nini?"
 
M4C morogoro imemaliza kazi. imemuumiza kila mwenye rangi ya kijani. Ni kweli kila kijiji ilipopita imepata wanachama wapya wakutosha. We acha tu ngoma inogile! Peoplessssssssssssss
 
Igunga haki imetendeka? lakini Arusha haki haikutendeka. Au haki ni pale tu unaposhinda na si unaposhindwa pia?

Siku zote unatakiwa kuangalia mwenendo wa kesi kupitia ushahidi unaotolewa, Kesi ya Lema mlisema kamtukana Mh. ushahidi wa jambo hilo mlisema lipo na hamkutoa video mliyosema mlimrekodi, Mh. aliyedaiwa kutukanwa hakutokea kutoa ushahidi hata baada ya uaihirishaji wa hapa na pale, kwa kifupi kulikuwa na many anomalies ndo maana wakakata rufaa, thubutu nyie km hamjaangukia pua mapemaaaaaaaaaa
 
Hayo mafanikio bado ni rsharasha tu, mvua ya masika kisiasa bado yako njini yaja hivi karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom