BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,022
| ||
|
| ||
|
"Nimetoa waraka wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uchaguzi ndani ya chama. Badala ya kufanyika kila baada ya miaka mitano ambayo huwa karibu na mwaka wa Uchaguzi Mkuu tumerudisha nyuma, hivyo chaguzi ndani ya chama zitaanza mwakani katika ngazi mbalimbali na kukamilika mwaka 2013.
"Tunaamini tukifanya uchaguzi mapema tutaweza kumaliza makovu ya uchaguzi huo, hivyo kuingia katika Uchaguzi Mkuu tukiwa kitu kimoja," alisema Dk. Slaa.
Nafikiri alikuwa na maana ya kujiandaa kichama sio kumtangaza mgombea.Nakukumbuka tulijadili hili sana hapa JF wakati Dr alipoteuliwa kuwa mgombea Urais. It was too late na hakupata muda wa kijinadi. Hata kufanya uchaguzi 2013 halafu uchaguzi mkuu ni 2015, bado naona atakayechaguliwa atakuwa na muda mfupi sana wa kutandaza zege. Kwa nini wasifanye kama wanavyofanya in the West? Kwamba baada ya Uchaguzi mkuu, kama mgombea urais hakufanikiwa kushinda, then chama kinafanya uchaguzi immediately after the general election. Hapo atakuwa na at least miaka minne ya kujijenga na kuzunguka nchi kunadi sera za chama.
Having said that sidhani kama ni sahihi kwa Chadema kusema kuwa kitachukua hatamu ya uongozi katika uchaguzi ujao. The ultimate decision itakuwa kwa Watanzania kama kweli wanataka mabadiliko. Are Tanzanians ready for a change? Few but not all.
Nafikiri alikuwa na maana ya kujiandaa kichama sio kumtangaza mgombea.
Dk. Slaa alisema CHADEMA kinatarajia kutumia njia ya ‘database' kuwasiliana na wanachama wake kama walivyofanya viongozi wa chama hicho mkoani Arusha.
"Kwa kutumia mfumo huo, ukituma ujumbe mfupi wa maandishi (sms) moja inaweza kufika kwa wanachama zaidi ya 5,000, hivyo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuanzia sasa viongozi kusanyeni namba za wanachama wetu ili tuingize kwenye utaratibu wa aina hiyo,"alisema.
Kwenye msafara wa Bundi lazima hawepo Bundi wa kuwaongoza wenzake!
Kwenye msafara wa Bundi lazima hawepo Bundi wa kuwaongoza wenzake!
Hiyo ni mipango ya kwenye makaratasi,, utekelezaji wake ni sehemu ingine tena, ina changamoto nyingi na mapito mengi, je? Ukomavu na uvumilivu wenu utawafikisha 2015 bila kupigana vikumbo ninyi kwa ninyi?.. mna lengo zuri lakini jipangeni kitaifa acheni siasa za kulipua mabomu waelezeni wananchi niya na madhumuni ya kutaka kuwaongoza kujenga kuheshimiana na kuaminiana ndani ya chama chenu na vyama vingine , serikari na vyombo vyake.
Chadema jaman tv vip!mmefikia wapi viongoz?
Mkuu hivi walishawahi kuliongelea hili hawa viongozi wetu?hii kitu ni muhimu mno kwa kweli