CHADEMA, watu wa Hanang wanahitaji misaada sio lawama zenu

Haya turudi kwenye mada. Chadema haziwezi peleka hata kiroba cha sukari watu wanywe chai wakati mkiendelea kutoa hizo lawama?
Mbona uwa mnalaumu uku mnachangishana hela za join the chain za kuwawwzesha viongozi wenu?
Wajinga sana nyie watu.
Kuna mjinga zaidi yako?.Jitu zima kazi kujikomba kwa binadamu wenzako alafu unajiona una akili.Unatakiwa ujue hakuna taasisi yoyote nje ya serikali inayolazimishwa kusaidia majanga yoyote,Watu watafanya kwakujitolea kwasababu nimajanga dhidi ya binadamu.Sasa wewe ni chawa gani wakuisemea chadema kwenye jambo ambalo hujui mipango yake inaendaje.Unajua ni wanachadema wangapi wametoa hiyo misaada hadi sasa?..Sio kila kitu lazima kitanguliwe na mbwembwe mbele ya kamera.Serikali yenyewe yenye ofisi ya maafa na kodi ambazo ziko stand by walichelewa kupeleka msaada alafu unawakurupukia chadema.Jinga kabisa wewe.
 
Huu ni upumbavu, ni serikali ya CCM inayokusanya kodi yangu ni kuinufaisha few royal families, endelea kuwa pumbavu
Kwa hiyo nyinyi hamsaidii wanaopata matatizo mpaka mkusanye kodi? Kwa nini ruzuku mnatafuna ilihali hamkusanyi kodi? Matapeli wakubwa sana
 
Viongozi wako wanapigapiga picha tu huko, vipi wabana pua wavaa sketi lini wanaenda huko kutafuta kiki
Wakagawe juice za cola na biskuti

Ova
Hahahah ila Mzee wa Kino kwa nini hawa walamba lips huwa misaada yao haiendani na mahitaji? Juice kwa mtu aliyepoteza kitanda na godoro inasaidia nini?
 
Kuna mjinga zaidi yako?.Jitu zima kazi kujikomba kwa binadamu wenzako alafu unajiona una akili.Unatakiwa ujue hakuna taasisi yoyote nje ya serikali inayolazimishwa kusaidia majanga yoyote,Watu watafanya kwakujitolea kwasababu nimajanga dhidi ya binadamu.Sasa wewe ni chawa gani wakuisemea chadema kwenye jambo ambalo hujui mipango yake inaendaje.Unajua ni wanachadema wangapi wametoa hiyo misaada hadi sasa?..Sio kila kitu lazima kitanguliwe na mbwembwe mbele ya kamera.Serikali yenyewe yenye ofisi ya maafa na kodi ambazo ziko stand by walichelewa kupeleka msaada alafu unawakurupukia chadema.Jinga kabisa wewe.
Wewe mbona unajikomba kwa Mbowe babako yule? Anakujua? Ashawai kukugaia ruzuku? Unashinda tu juani kumkenulia mwenzio ikifika wakati wa matatizo anapiga kimya ujanja ujanja tu ooh hatukusanyi kodi ingekuwa kwao Moshi ungeona alivyo fasta. Punguzeni ujinga
 
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.

Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.

Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.

Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.

Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.

Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Hilo lichama ni la wapuuzi sana
 
Wangechukua hata nusu ya hela za join the chain na kusaidia wahanga wa Katesh badala ya kuacha zote ziliwe na Sultani Mbowe. CHADEMA ni laana ya taifa.
 
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.

Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.

Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.

Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.

Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.

Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Kuwa chawa si kujitoa ufahamu na kuandika vitu vya kijinga kipindi hiki cha majonzi. Serikali iko pale kuokoa na kuratibu SI kwa niaba ya chama cha mapinduzi bali ni wajibu wake kwasababu ndiyo yenye kukusanya kodi na mapato yote ya nchi. Ndiyo yenye rasilimali. Ikitokea watu binafsi, Vikundi au vyama vya siasa kuchangia ktk haya maafa ni jambo jema la kibinadamu na si kwa kutafuta umaarufu. Narudia tena, serikali siyo wawakilishi wa CCM wanatumia rasilimali za nchi acha watimize wajibu wao.
 
Mako ni mtu wangu sana, nikiwa Ilboru, A-Level 80s, tulikuwa tunakesha nae Cave kwa DJ Mac Hop!. Nikawa naenda kwake pale uzunguni enzi hizo Julius ni 2 years, Aisha ni hakimu mkazi!.

Akiwa EALA, nimepiga nae trips kibao abroad. Tukio hili lingetokea chini yake, ingekuwa soo!.
P
Vp kapunguza mambo fulani

Ova
 
Hahahah ila Mzee wa Kino kwa nini hawa walamba lips huwa misaada yao haiendani na mahitaji? Juice kwa mtu aliyepoteza kitanda na godoro inasaidia nini?
Wao siku zote wanataka wapewe tu
Wao siku zote shida zao wanaziona
Muhimu,nawachukia sana hawa walamba lips kwanza wamekiaribu sana kizaz chetu
Bora hiphop irudi tu

Ova
 
Kuwa chawa si kujitoa ufahamu na kuandika vitu vya kijinga kipindi hiki cha majonzi. Serikali iko pale kuokoa na kuratibu SI kwa niaba ya chama cha mapinduzi bali ni wajibu wake kwasababu ndiyo yenye kukusanya kodi na mapato yote ya nchi. Ndiyo yenye rasilimali. Ikitokea watu binafsi, Vikundi au vyama vya siasa kuchangia ktk haya maafa ni jambo jema la kibinadamu na si kwa kutafuta umaarufu. Narudia tena, serikali siyo wawakilishi wa CCM wanatumia rasilimali za nchi acha watimize wajibu wao.
IMG_20231205_095839.jpg
 
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.

Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.

Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.

Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.

Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.

Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Hivi hawa viongozi walorundikana hanang' wana msaada gani!?.Tumeumia sana wana Hanang',hususan Katesh na Ganana.Sisi siasa kwetu haijawahi kua uadui ila zama za mwendazake mambo yalikua tofauti.Ukitaka kujua maana halisi ya demokrasia krb hanang' au muulize mzee Sumaye na mama Nagu.
 
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.

Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.

Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.

Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.

Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.

Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63

Lini CHADEMA wamelaumu?. Shida mtu yeyote hata akiwa wa CCM akikisoa anaitwa CHADEMA. Tubadilike basi.
 
hawa wahuni pia ni wale wale kama ccm tu,kutumia ujinga wa wananchi kama mtaji.

eneo kama lile ukiwahoji mbona hamjafika hata na mabox ya sukari,utasikia hiyo ni kazi ya serikali

ila kuitisha press za katiba mpya hiyo ni kazi yao,wanasahau uongozi ni mfano.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app

Ulimuuliza nani akakujibu hovyo?. Acha kuongea mambo ya kufikilika. Mbona CHADEMA wapi ground tangua Jumapili wanasaidia. Tatizo lako umeweka siasa mbele mpaka umwekuwa kipofu.
 
CHADEMA siku zote wamo kwenye siasa uchwara tu.

Ona humu JF! Wamewatuma vijana wao hapa kumwaga nyuzi za lawama tu. Huu uharakati wa ajabu kabisa, hata kwenye majanga wanaleta siasa za chuki wivu na kejeli, mmeku? Mbula

Waache lawama.

Mbona wewe ndio umejaza lawama?. Punguza lawama kwa CHADEMA.
 
Haya turudi kwenye mada. Chadema haziwezi peleka hata kiroba cha sukari watu wanywe chai wakati mkiendelea kutoa hizo lawama?
Mbona uwa mnalaumu uku mnachangishana hela za join the chain za kuwawwzesha viongozi wenu?
Wajinga sana nyie watu.

Kumbe lengo lako ni kuilaumu CHADEMA?. CHADEMA hawafanyi Mambo kukufurahisha wewe. Wewe Baki na CCM yako hiyo inayotumia majanga kujitangaza.
 
Wanaokusanya kodi na tozo toka kwa watanzania ni ccm Lakini misaada unataka itolewe na chadema. Akili matope hizi.
 
Kwa hiyo nyinyi hamsaidii wanaopata matatizo mpaka mkusanye kodi? Kwa nini ruzuku mnatafuna ilihali hamkusanyi kodi? Matapeli wakubwa sana

Ruzuku umeijulia wapi? Wewe Baki kwenye bongo fleva za wabana pua. Eti Ruzuku mnapeleka wapi.?.

Unajua kazi ya Ruzuku? Nitajie kazi moja ya Ruzuku kisheria.
 
Back
Top Bottom