Elections 2010 Chadema watoa elimu ya uchaguzi Bukoba

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
IMGP4506.jpg IMGP4501.jpg
Leo Chama cha Chadema jimbo la Bukoba mjini lilikutanisha viongozi wake ili kuwapa elimu ya sheria mpya za uchaguzi na mambo mengine yahusuyo uchaguzi. Ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya uchaguzi utakaokuwapo mwezi wa october 2010.
Afisa wa Takukuru alihusika kutoa elimu hiyo. Alipata shida na kigugumizi sana katika kujibu maswali ya washiriki.
Picha hizo zaonyesha mambo yaliyokuwa yakiendelea.
 
Back
Top Bottom