Kuangalia TBC ni dhambi hata kwa Mungu.
:rockon::A S-heart-2:Huu ni ushenzi na wendawazimu ambao haukubaliki,ni bayana kila mtu anajua kuwa TiBiC ni shirika la umma na linaendeshwa kwa kodi zetu watanzania ambao tuna vyama na wengine hatuna vyama iweje leo TBC wabague habari za CHADEMA eti kwa vile ni chama kilichoikaba kooni CCM, na hii ni bayana kwa vile wakati wa kampeni za uchaguzi mzee Tido Datsun aliruhusu chombo hicho kiendeshe na kurusha kipindi cha mchakato majimboni ambapo kila mgonmbea aliruhusiwa kunadi sera za chama chake, na ilipobainika magamba wanabanwa sana huko majimboni,watawala na makuhani wa Ikulu ya Magogoni walijenga hoja kuwa eti uwazi na Demokrasia iliyoonyeshwa na TiBiC ya Tido ilihujumu magamba na kupelekea CCM kuyatema eti majimbo zaidi ya 25, huu ni uchuro na kwa sasa lazima TiBiC muelewe watanganyika hatudanywi hizi ni zama zingine kwa Taarifa yenu hata mvuto tena hamnao kwa watanganyika 85%,wengi wa wapenzi tuliowashabikia kipindi cha Tido tumeshahamia vituo vingine ambavyo haviendeshwi kwa rimoti control kutoka state house, endeleeni tu kutapatapa kutafuta mchawi, na bado mtaisoma namba kamwe hatutadanganyika,yaani kila ovu la serikali yetu manalificha hata mauaji ya Mwangosi David mlituficha, kilichobaki endeleeni kupiga propaganda za Magamba,Sasa naanza kuamini TIBIC na Magamba ni majanga ya kitaifa na hayakubaliki,haiwezekani sisi tunamuona kwa macho yetu mfalme na wasaidizi wake wako uchi na nyie huku mnataka tujiapize na kuamini kuwa wamevalia nguo,katu haturubuniki kwa lolote mmechelewa na magamba yenu Tanzania bira SISIEMU inawezekana kabisa siku ccm itakapoacha kuwa kimbilio la wanyonge watanzania watachagua chama kingine-nyerere J.Kambarage..:amen::amen::amen::rockon:
Chadema bana kila kitu kususa haya endeleeni kususa lakini mwisho wa siku mtakula.
Kuna vyama vingi vya siasa wapo CCJ, UDP, CUF, UPDPD, TLP, mbona wapo kimya vinafanya shughuli zao kama kawaidi bila kulalamika, Chadema peke yao ndio wanalia lia kila kukicha.
Chadema tumeishawazoe kwa kususa, subirini 2015 msusie vizuri matokeo ya uchaguzi mkuu.
Bahati mbaya kwa tbccm ni kwamba kadri wanavyojitahidi kuitukana Chadema ndivyo watu wanavyozidi kuiunga mkono, na baada ya kamati kuu kutoa tamko la kuisusia sasahivi tbccm imeendelea kutazamwa na watu wachache kwahiyo kujaribu kufanya mahojiano na Chadema ingekuwa ni ushindi kwao.
wanalalamika kulko wale wazee wa kuandamana ijumaa na kulalamikia mfumo kristo
Leo katika semina ya siku Moja iliyoitishwa na TCD, TBC 1 Ilikuja kwa lengo la kufanya coverage ya kikao. Baada ya hotuba za ufunguzi waliwaita viongozi aw CCM na wa CHADEMA nje kwa ajili ya mahojiano zaidi. Mwakilishi wa CCM alitoka haraka haraka na kuanza kuhojiwa. Lakini Yule wa CHADEMA aliwaita wenzake na kujadiliana kama ingekuwa afya kwa chama chao kama angehojiwa hasa baada ya chama kutangaza mgogoro na TBC 1. Kwa pamoja walikubaliana kutoshiriki mahojiano hayo na hivyo kuwaacha TBC waking'aa macho.
Waliohudhuria semina hiyo kuiwakilisha CHADEMA ni
1. Mhe. Naomi Kaihura
2. Mwita Marwa Mwikabe
3. Tumaini Makene
4. Basil Lema.
Inaonyesha kuwa mgogoro aw CDM na TBC ni real. Labda atafutwe mtu awasuluhishe!
Chadema bana kila kitu kususa haya endeleeni kususa lakini mwisho wa siku mtakula.
Umbumbumbu mwingine bana??/Chadema bana kila kitu kususa haya endeleeni kususa lakini mwisho wa siku mtakula.
Leo katika semina ya siku Moja iliyoitishwa na TCD, TBC 1 Ilikuja kwa lengo la kufanya coverage ya kikao. Baada ya hotuba za ufunguzi waliwaita viongozi aw CCM na wa CHADEMA nje kwa ajili ya mahojiano zaidi. Mwakilishi wa CCM alitoka haraka haraka na kuanza kuhojiwa. Lakini Yule wa CHADEMA aliwaita wenzake na kujadiliana kama ingekuwa afya kwa chama chao kama angehojiwa hasa baada ya chama kutangaza mgogoro na TBC 1. Kwa pamoja walikubaliana kutoshiriki mahojiano hayo na hivyo kuwaacha TBC waking'aa macho.
Waliohudhuria semina hiyo kuiwakilisha CHADEMA ni
1. Mhe. Naomi Kaihura
2. Mwita Marwa Mwikabe
3. Tumaini Makene
4. Basil Lema.
Inaonyesha kuwa mgogoro aw CDM na TBC ni real. Labda atafutwe mtu awasuluhishe!
kwani chadema ni nani hapa duniani hadi wabembelezwe.ni kuwapuuza tu.