CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

Dec 5, 2009
65
23
Leo katika semina ya siku Moja iliyoitishwa na TCD, TBC 1 Ilikuja kwa lengo la kufanya coverage ya kikao. Baada ya hotuba za ufunguzi waliwaita viongozi aw CCM na wa CHADEMA nje kwa ajili ya mahojiano zaidi. Mwakilishi wa CCM alitoka haraka haraka na kuanza kuhojiwa. Lakini Yule wa CHADEMA aliwaita wenzake na kujadiliana kama ingekuwa afya kwa chama chao kama angehojiwa hasa baada ya chama kutangaza mgogoro na TBC 1. Kwa pamoja walikubaliana kutoshiriki mahojiano hayo na hivyo kuwaacha TBC waking'aa macho.

Waliohudhuria semina hiyo kuiwakilisha CHADEMA ni
1. Mhe. Naomi Kaihura
2. Mwita Marwa Mwikabe
3. Tumaini Makene
4. Basil Lema.

Inaonyesha kuwa mgogoro aw CDM na TBC ni real. Labda atafutwe mtu awasuluhishe!
 
Big up CDM. TBC1 imageuka Runinga ya Chama Tawala na inapendelea. Hii siyo Television kwa watanzania wote. Iweje leo wawaite CDM waongee? Msimamo ni mmoja tu. Kama TBC wasipoitangaza CDM vyombo vingine vitafanya including forums and social networks. Mbona CDM inavuma bila TBC1? To hell with it.
 
Safi TBC walishasema hawatawapa chadema coverage toka uchaguzi wa arumeru na hawajafanya hivyo why waendekezwe
 
Kama ni interview ya kweli, basi iandaliwe na station zingine za television and not TBC!
 
Chadema bana kila kitu kususa haya endeleeni kususa lakini mwisho wa siku mtakula.
 
Safi sana, hii station haina hadhi ya kuwa chombo cha cha taifa! Hii ni station ya ccmweli
 
TBC-1 inakera hata kwetu sisi wana CCM. TBC inaliua chama chetu

Ni kweli kabisa mkuu, kwenye nyekundu uko sahihi mkuu, ila maneno yaliyofuata yanatakiwa uya-edit kidogo ili kupata flow nuzuri. It should read "TBC inaliua li chama letu"
 
cdm waachane kabisa na hao vibaraka kwani hawana jipya.cdm wajue kuwa wtz tuliowengi hatufagilii kuangalia tbc tangu kutoka kwa tido kwani hapo hakuna jipya.ni bora kuangalia kituo cha tv chochote kile kinachoonyesha vicatoon kuliko kuangalia coverage za tbccm
 
Chadema bana kila kitu kususa haya endeleeni kususa lakini mwisho wa siku mtakula.

Hiyo si luninga yenu end element kuitazama, ila wangekuwa na busara wangezungumza na CDM kwani uhasama ukikua utawaathiri sana kikazi na kimapato ..........
 
Hili jambo si la ajabu. Ni vema kabisa kama mtu au chombo huna imani nacho yanini kupoteza muda kwa kusaliti nafsi yako? Tbc imepoteza mwelekeo tokea wamfukuze tido.
 
Waende wakaendelee kuwasaili wengine na sio cdm[ Never ague with a foul,you will be a foul)
 
Mzee Ndesapesa na Mzee Sabodo muko wapi waungwana na wafadhili wetu wakubwa hapa nchini ndani ya M4C? Tuwekeeni mtambo wa nguvu na wenye machanel kibao kuzidi ya TBC ili tuwe na ushindani katika fani zote. Kuna siku M4C Television itasimama tu.
 
Back
Top Bottom