CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

Siku nilipomsikia Kamanda Mbowe akitoa tamko la kuisusia TBC ckushangaa coz humu JF tulishasema mara nyingi kuhusu kuisusia hii taasisi hawapo balanced kabisa, taharifa zao zinaandaliwa pale Lumumba
 
Tbc inaendeshwa kwa kodi za walalahoi kwa manufaa ya ccm na vibaraka wake.
 
Chadema bana kila kitu kususa haya endeleeni kususa lakini mwisho wa siku mtakula.

Muungwana husimamia kauli zake lakini mnafiki hukana, ni kheri kususa kuliko kuwa ndumilakuwili aka mnafiki
 
Inatia kichefuchefu...sielewe ni uoga wa watanzania hadi watangazaji wafikie hatua hiyo au ni njaa.
 
TV ya CCM, waangalie akina NAPE wengine hatujui mara ya mwisho tumeangalia lini
 
TV ya CCM, waangalie akina NAPE, wengine huwa tunaikumbuka kipindi cha bunge live
 
Hapo kwenye red. Hilo lilikuwa KOSA KUBWA kuliko kuhudhuria interview yenyewe! Kamati Kuu ya Chama ilishatangaza mgogoro na hicho kituo how comes tena leo hii wawakilishi wa chama eti wana-discuss kama wawe interviewed au la?

Hata kile kitendo cha kukiwaza hicho kituo nje ya utaratibu uliowekwa na chama tayari ni uasi dhidi ya maagizo ya chama. Nimesikitika sana.

Pole brother!
 
Back
Top Bottom