Chadema wasijidanganye Bila Bunge Huru la Katiba Matamanio yao yataendelea kuwa ni bure tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,081
Hakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM

Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna Chochote wanachoweza kumshinikiza na kikakubaliwa na Wabunge wa CCM

Mlale Unono 😀😀
 
Ni kwenda barabarani, watanzania wote, short of that hakuna kitu AU West Africa wajiondoe ECOWAS
 
suluhisho Chadema wangojee 2025 wajipange vizuri watapata wabunge kwa vile mama hatakubali kufanya ya 2020 kwa 4 Rs anazotaka kuzitekeleza hata kwa mwelekeo anaouonuesha angalau kwa 30% si haba wakipata wabunge ndipo waanze kupambana na katiba mpya atawapa. Hiyo ndiyo strategy. waendelee na zoezi la kuandikisha wanachama na kufufua matawi. mikutano mingi sana.
 
Hakuna namna nyingine !!
 
Jamani hivi kwanini serikali halipi wafanyabiashara ni mwezi wa 4 sasa wanasema mifumo, mifumo, mifumo, tumechoka kwakweli.
 
Hakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM

Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna Chochote wanachoweza kumshinikiza na kikakubaliwa na Wabunge wa CCM

Mlale Unono 😀😀
eti tume ya uchaguzi iajiri watumishi wake :D

sasa ikiajiri watumishi wake, hao watumishi wake si wanakua ni watumishi wa umma sawa na ambao tayari walikuepo kwenye utumishi wa umma tangu kitambo...
 
Hakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM

Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna Chochote wanachoweza kumshinikiza na kikakubaliwa na Wabunge wa CCM

Mlale Unono 😀😀
Kwani matamanio yao nini bwashee?
Ulale unono!
 
suluhisho Chadema wangojee 2025 wajipange vizuri watapata wabunge kwa vile mama hatakubali kufanya ya 2020 kwa 4 Rs anazotaka kuzitekeleza hata kwa mwelekeo anaouonuesha angalau kwa 30% si haba wakipata wabunge ndipo waanze kupambana na katiba mpya atawapa. Hiyo ndiyo strategy. waendelee na zoezi la kuandikisha wanachama na kufufua matawi. mikutano mingi sana.

Kushiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi inawajibika kwa mwenyekiti wa ccm huku ukitegemea % fulani ya hisani kutoka kwake, ni matumizi mabaya ya raslimali muda na akili. Vyama vinavyotaka kushiriki huo usanii uitwao uchaguzi Ili vipewe viti vya hisani vinaweza kushiriki tu, lakini wapiga kura tunaojitambua hatuko tayari tena kupotezewa muda. Itatafutwa njia nyingine ya kupata viongozi, ila sio ya hizo chaguzi za kihayawani.
 
umesahau kuweka namba ya simu bwana kibinda koye akimaliza mikoa aje kukuunga jf maana akitoka kulia kila akisikia wametekwa wananchi
 
Kushiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi inawajibika kwa mwenyekiti wa ccm huku ukitegemea % fulani ya hisani kutoka kwake, ni matumizi mabaya ya raslimali muda na akili. Vyama vinavyotaka kushiriki huo usanii uitwao uchaguzi Ili vipewe viti vya hisani vinaweza kushiriki tu, lakini wapiga kura tunaojitambua hatuko tayari tena kupotezewa muda. Itatafutwa njia nyingine ya kupata viongozi, ila sio ya hizo chaguzi za kihayawani.
unajitambua wapi wew akati bado unaishi kwa wazazi 🐒
 
Back
Top Bottom