Chadema washikwa pabaya watengeneza UONGO usio na nguo kuhusu Nape.

yalikuwa maelfu ya wana_Makambako aliuza kadi kama njugu haziesabiki wana cdm karibu wote walirejea ccm. kwe kwe kwe kwe! teh teh teh teh auuuuuuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imekula kwenu M4c imekuwa Movement no change, LOWASA HOYEEEEE!
 
Hakuna haja ya kutengeneza story.,CCM haijaanza Siasa jana ina nusu karne katika hili.,chadomo ndo wanaoangaika kutafuta namna ya kutoka...!

namna ya kutoka? Kwani walikuwemo? mimi ninavyojua wanaelimisha watu ili waweze kuingia ikulu, sasa wewe nakushangaa unaposema watoke! Aaah samahani kumbe unaongelea chadomo ... Nilifikiri Chadema sorry ...!!!
 
Majungu bhana,mbona sioni uthibitisho?

Uthibitisho autoe wapi!

Ebu cheki hii.

the horse kweli wewe ni mzima!


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/270159-kutoka-viwanja-vya-mashujaa-mtwara-kampeni-ya-vua-gamba-vaa-gwanda-yaendelea-4.html#post3951206



Mpaka hivi sasa viongozi wa kitaifa bado hawajaingia wameingia watatu tu na jua linazama. Idadi ya watu ni ndogo na wengi wakiwa ni watoto wadogo ambao walikuwa wakikimbiza gari la P.A ambalo lilikuwa linazunguka mitaani tangu asubuhi. Picha HIZi Hapa.


kama mnabisha pigeni simu muulize.,au ngoja nizi-upload picha nyinge ingawa mtandao unasumbua kidogo...!


Lema anaonekana amekata tamaa anaelekea upande wenye parking.,nafikiri anataka kutimka...!


Katika mkutano ambao utaacha historia mbaya katika mikutano ya CHADEMA basi mkutano wa leo mtwara utaongoza. IKUMBUKENI siku hii.


Kuna member anaitwa Mawaiba akamjibu the horse



Huyu mtu ni MWONGO...! Mambo ni mazuri sana wanaJF Msihofu wakuu. Nitakuja na hitimisho..!


Hatimaye Mawaiba akaweka picha za huo mkutano, the horse akaikimbia thread
 
Hilo jimbo Si lenu nyinyiem mbona kaumati kadogo sana,nafikiri Jipangeni upya kama hamna kazi bora mkae kimya.
 
yalikuwa maelfu ya wana_Makambako aliuza kadi kama njugu haziesabiki wana cdm karibu wote walirejea ccm. kwe kwe kwe kwe! teh teh teh teh auuuuuuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imekula kwenu M4c imekuwa Movement no change, LOWASA HOYEEEEE!
unahadiwa kupewa kadi bure, unapewa 5,000/= ya kwenda mkutanoni, kwanini wasichangamkie vya bure ivo??
CCM imepotea, wanalipa watu kwenda mikutano yao na kisha wanajisifu kwamba walipata wahudhuriaji wengi??
Chadema hawalipi watu ili waje kwenye mikkutano yao.

Kweli bora kuwa kilema wa mwili kuliko kuwa kilema wa akili kama CCM.
 
lengo lake ni kuimarisha chama na kukagua utendaji wa chama na serikali katika maeneo hayo lakini pia jamaa ni ONE MAN ARMY ni kiongozi anaonyesha njia wengine watafata, hiyo ni juu ya aliyoongozana nao lakini tunaomfuata ni wengi....,
the horse mdogo wangu, do you how ridiculous this sounds?...NAPE, the one man army...wa CCM au wa serikali? Sasa kama yeye ni ONE MAN ARMY huko anazurura akiimarisha kitu gani? Anakagua utendaji wa nini? Je, anawakilisha wanaCCM na kama jibu ni ndiyo, ni lini walimchagua! Je anawakilisha serikali na kama jibu ni ndiyo, kama nani serikalini? Okay tukubali ni ONE MAN ARMY, hapa unathibitisha kuwa Nape ndiye CCM na CCM ni Nape na ndio maana kwa akili yake CCM haifi hata kama atabaki peke yake, CCMM - Chama Cha Mtu Moja!

nape-nnauye-21.jpg


Kikao cha NEC, Dodoma.

the horse, kweli Nape amejitosheleza, hahitaji kwenda vitani akiongozana na binadamu ila kujisafisha tu hata kama ni kwa kukung'uta tu magamba, kasalimu amri, kashindwa. Maadui zake ndani ya chama wanazidi kujiimarisha lakini Nape hata hana wasiwasi ingawa historia inamsuta...mbona yaliyomtokea Ubungo mwaka 2010 bado yako fresh? Ya Arumeru nayo yanapiga hodi!
images


Kampeni Arumeru
 
Last edited by a moderator:
Dakika ishirini zilizopita, Kuna thread ya "uongo" juu ya ziara ya Nape makambako leo na kudai kuwa alizomewa katika ziara hiyo,

UKWELI NI HUU;

Mimi nilikuwepo katika mkutano huo na ili linalozungumzwa halikutokea na kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuwa Nape anaweza kutukana wananchi hadharani (ambao wengi ni wanaCCM).

Uhalisia ni kuwa jamaa aliwashika pabaya chadema hii leo na kuwaeleza kuwa movement for change ni namna ya kutengeneza pesa kwani haina mashiko kwa kuwa haijielezi ni "cheji" ipi wanaitaka, na nape alitoa mifano kuwa ulaya hivi sasa wanayo movement for "democratic change" lakini hii ya chadema haijielewi ipoipo tu.

pili aliongelea juu ya waliohama kuwa ni sawa na oil chafu ambayo haina madhara ikipungua na hata kutolewa kabisa kwa kuwa haifai tena kwenye gari hilo.

na pia akasisitiza kuwa mapato ya stendi ya makambako isomwe hadharani na kubandikwa ili wananchi waelewe.

pia alieleza juu ya muungano na kueleza kwa mifano, alitoa mfano kuwa si busara kwa watu ambao wamekuwa katika ndoa kwa miaka 50 kuanza kujadili uhalali wa ndoa hiyo bali wanaweza kujadili namna ya kuongeza mapenzi kwa nia ya kudumisha ndoa hiyo

aliendelea kwa kufafanua juu ya suala la mgombea binafsi na kuweka wazi kuwa CCM haina shida na suala hili isipokuwa ni wazi kuwa suala hili litawaumiza upinzani zaidi kwani iko wazi kuwa leo hii katiba ikilipitisha hili kuna watu siku hiyo hiyo wanatangaza kuhama chadema na kusimama wao kama wenyewe, watu ambao wana-majority kwenye chadema"

Nape aliendela kusisitiza juu ya suala la maadili ya viongozi na kueleza kuwa inalazimika sasa suala hili liingie katika katiba mpya ili lipate nguvu zaidi.

haya na mengine mengi yalifanya hata wale waliokuja kwenye mkutano na kombati waanze kushangilia na picha naipandisha kwa ushahidi.

Magwanda lazima muishiwe damu mwaka huu, jamaa anawapiga pande zote. Imagine ule umati ulivyojaa...!

Wewe gamba sijakuelewa kabisa. Wakati Nape kazomewa wewe unakanusha kijinga labda wewe mwenyewe ndiye unayempenda Nape na ccm yako.
 
wanatia aibu kama awajui tafauti ya chenchi,chenji na change duh jamaa wakisikia m4c wanajamba maputo tu.
 
walisema kuna viongozi wakuu wa chadema wanahamia Chadomo- watu wakawa attention na baadae kimyaaaaa
walisema CCM inaua wanachama wao na baada ya uchunguzi wa watu waliokufa, ikagundulika si wana CDM na wala hawakuuwawa na CCM...
walisema hata wakivua magamba nyoka bado sumu ni ile ile leo wanakumbatia oil chafu..nao wanachafuka..,hurumaaaa...
wanasema Nape anatukana mikutanoni na kila kukicha anapandishwa thread inayomtaja kumdiscourage, jamaa huyoooo anawaumiza tuu,,
anaandaa ziara kwenda lindi.,mtwara na ruvuma kwenda kuwafuta wananchi mabaki ya oil chafu, inaanza mwezi wa saba...

Mkuu Nape,,mambo vipi?
 
lengo lake ni kuimarisha chama na kukagua utendaji wa chama na serikali katika maeneo hayo lakini pia jamaa ni ONE MAN ARMY ni kiongozi anaonyesha njia wengine watafata, hiyo ni juu ya aliyoongozana nao lakini tunaomfuata ni wengi....,

Hivi kumbe ana mamlaka pia ya kukagua na utendaji wa serikali eeh? Ama kweli chama kimeshika hatamu na ndo maana hatuendi kokote!
 
lengo lake ni kuimarisha chama na kukagua utendaji wa chama na serikali katika maeneo hayo lakini pia jamaa ni ONE MAN ARMY ni kiongozi anaonyesha njia wengine watafata, hiyo ni juu ya aliyoongozana nao lakini tunaomfuata ni wengi....,

kuimarisha chama?kwani miaka yote hiyo ya uongozi hakiko imara 2?kama angekuwa ni mtoto basi ni mwenye kutambaa akiwa na miaka 12,ni mlemavu sasa!we need changes"peopleeeeeeees........"
 
Hata kule Arumeru Mashariki mlikana kua Lusinde hakutukana matusi bali alikua anamwaga sera za chama chenu! Pole sana HORSE!
 
Back
Top Bottom