Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 129
Inasemekana kua chadema wanatumia mjadala wa muswada wa katiba kuleta vurugu nchini. Naomba kuuliuza je yule sheikh aliechana muswa mbele ya mh. Sitta zanzibar jana yuko chadema?
Inasemekana kua chadema wanatumia mjadala wa muswada wa katiba kuleta vurugu nchini. Naomba kuuliuza je yule sheikh aliechana muswa mbele ya mh. Sitta zanzibar jana yuko chadema?
CCM wanatapatapa, maji yamewafika usawa wa macho
Wa Zenj noma! we acha tu.
Bakwata imeundwa na serikali ndio maana mashekh wao wapo kuilinda serikali, lakini ni waislam wachache wanaokubaliana na kauli zao.Sasa waisilamu wa huku bara watachanganyikiwa, wamfuate nani; imamu mwenzao wa Zenj asiyeutaka muswada au CCM bara iliyouleta muswada? Ndo maana akina Majimshindo wanashindwa kuchangia post ya yaliojiri Zenj!
swali zuri!Kama kuna jamii ninazozikubali kwa kukataa unafiki Tanzania hii ni Jamii za MARA, ARUSHA and ZENJI. Maslahi ya wote huwekwa mbele then Vyama follows. Na mapinduzi ya kweli ya kumkomboa Mtanzania lazima yataanzia pande hizo. Can u imagine, Wazenji wamechana Mswaada na kutuambia 'kwanza tuandae katiba ya Tanganyika' sisi watanganyika tunatoa msukumo gani to have our country back?
Sasa waisilamu wa huku bara watachanganyikiwa, wamfuate nani; imamu mwenzao wa Zenj asiyeutaka muswada au CCM bara iliyouleta muswada? Ndo maana akina Majimshindo wanashindwa kuchangia post ya yaliojiri Zenj!