chadema wasababisha Vurugu muswada wa katiba zenji?

Amina Thomas

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
272
129
Inasemekana kua chadema wanatumia mjadala wa muswada wa katiba kuleta vurugu nchini. Naomba kuuliuza je yule sheikh aliechana muswa mbele ya mh. Sitta zanzibar jana yuko chadema?
 
Hilo swali zuri sana, tena si tu chadema tushukuru aliyechana si askofu bali mwenyekiti wa maimamu, mimi binafsi namfagilia kwa sababu amekataa kuwa mnafiki kama Sitta na Nape, amekataa kufikiri kwa kutumia tumbo badala ya akili na sisi sote bila kujali dini zetu, rangi wala kabila tunainya serikali isithubutu kumgusa imamu huyo tutapandana nayo mpaka damu la mwisho maana yeye amekua mkweli sio kama mnafiki sitta eti anathubutu kuutetea mswada huu ilimradi tu apate favor ya kikwetu, watanzania wanazidi kumuonya kikwete aache kutumia ofisi za serikali kuweka marafiki na ndugu zake wasiona uwezo, werema kombani hawana uwezo wa kumuongozi yoyote angekuwa anatoa kazi kwa wenye uwezo leo hii angekua anaongoza kwa kupeta akila kuku zake na kusafiri dunia nzima kama anavyotaka bila kuulizwa na mtu yoyote maana angetuuliza ni kipi kilichopungua?
 
Inasemekana kua chadema wanatumia mjadala wa muswada wa katiba kuleta vurugu nchini. Naomba kuuliuza je yule sheikh aliechana muswa mbele ya mh. Sitta zanzibar jana yuko chadema?

CCM wanatapatapa, maji yamewafika usawa wa macho
 
Safi kabisa, unafiki nin uzushi kabisa, naamini 6 anumia sn, kwa mswada huu, anatamani angekuwa mbunge wakawaida auponde kisawasawa, lkn uwaziri hanabudi kuacha nakujifanya haoni kumbe tunamchanganya na uharo wakifisado, alichofanya huyo muft, nisawa kbs, kwanini wasimshitaki waone moto wa watu utakavyo wawakia?
 
Sasa waisilamu wa huku bara watachanganyikiwa, wamfuate nani; imamu mwenzao wa Zenj asiyeutaka muswada au CCM bara iliyouleta muswada? Ndo maana akina Majimshindo wanashindwa kuchangia post ya yaliojiri Zenj!
 
Kama kuna jamii ninazozikubali kwa kukataa unafiki Tanzania hii ni Jamii za MARA, ARUSHA and ZENJI. Maslahi ya wote huwekwa mbele then Vyama follows. Na mapinduzi ya kweli ya kumkomboa Mtanzania lazima yataanzia pande hizo. Can u imagine, Wazenji wamechana Mswaada na kutuambia 'kwanza tuandae katiba ya Tanganyika' sisi watanganyika tunatoa msukumo gani to have our country back?
 
Bakwata imeundwa na serikali ndio maana mashekh wao wapo kuilinda serikali, lakini ni waislam wachache wanaokubaliana na kauli zao.
 
Kama kuna jamii ninazozikubali kwa kukataa unafiki Tanzania hii ni Jamii za MARA, ARUSHA and ZENJI. Maslahi ya wote huwekwa mbele then Vyama follows. Na mapinduzi ya kweli ya kumkomboa Mtanzania lazima yataanzia pande hizo. Can u imagine, Wazenji wamechana Mswaada na kutuambia 'kwanza tuandae katiba ya Tanganyika' sisi watanganyika tunatoa msukumo gani to have our country back?
swali zuri!
 
Iwe isiwe tunahitaji kwanza katiba ya Tanganyika kabla ya yote. Zanzibar tayari wana ya kwao. Tuwe na yetu ndio tuanze ya muungano.
 
Sasa waisilamu wa huku bara watachanganyikiwa, wamfuate nani; imamu mwenzao wa Zenj asiyeutaka muswada au CCM bara iliyouleta muswada? Ndo maana akina Majimshindo wanashindwa kuchangia post ya yaliojiri Zenj!

Tumshukuru Imam kwa kutusaidia kugawa matokeo, kitendo chako kitaleta mpasuko ndani ya hiyo kambi jambo ambalo litafanya kuwepo kwa makundi, halafu taratibu wataanza kuelewa kuwa suala sio ushabiki wa kidini bali ni mustakabali wa taifa. maana kuna watu aidha nia wajinga kuliko ujinga wenyewe au wanafanya makusudi kwa maslahi binafsi, maana hoja zingine ukizisikia unabaki kushangaa mtoaji amewezaje kuwa na ujuzi wa kutumia kompyuta, kwa kiwango hicho cha kifikra.
 
Mufti wa Bakwata na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar... Nani shujaa hapo?
Maana Mufti alishangiliwa sana baada ya kutoa hotuba yake ya Ki CCM na Mwenyekiti wa maimamu bila kuremba kachana chana muswaada uliondikwa na CCM tena mbele ya waziri. Wadanganyika yetu macho.
 
kwanza sheikh amemjibu makinda kwa upuuzi wake kuwa kuna wanasiasa (akimaanisha cdm) wanatumia mswada wa katiba kujinufaisha kisiasa.
Pili tukio limefanywa na sheikh na sio askofu maana angekuwa askofu wangesema udini
tatu hoja uongo iliyotungwa na tambwe hiza na ccm yao kuwa chadema wanafanya vurugu aina nguvu tena labda watuambie kuwa maimum wa zanzibar ni wanachama wa chadema
nne aliyeanzisha hii thread anaitwa amina angekuwa joseph,martin, david etc angeshambuliwa kuwa anahamasisha udini. Asante sn amina kwa kuijua fitna ya udini iliyoletwa na kikwete ili awapumbaze waislam
 
jamaa hawana hoja kabisa kuhusu inshu ya katiba.we have to tel people huu muswada noma let us stand together kuupinga kwa nguvu zetu zote.itakuaje rais ambaye ni mwenyekit wa ccm na kada mkuu wa chama awe mtu pekee atakae wateua hao members wa tume.
 
Katika hali halisi kitendo cha imam kuuchana mkataba sio influence ya chadema bali ni ccm influence kwasababu sera yao ni serikali mbili kuelekea mmoja matokeo yake rasmu inaandikwa na wazanzibar wanabaki kusomewa tu hicho ndo ktu ambacho wazanzibar wanakipinga kwani vizazi vipya vimeshaelewa madhara ya muungano na mustatante wa zanzibar baadae.kwa upande wa waislamu watanganyika wanachopigania ni haki yao na wala hawapingi uongoz wachadema na sera zako wanachopinga ni mfumo kiristo unaoendelezwa na viongoz wa chadema ambao unaonekana waziwazi.huo niukweli halisi mwenye akili ndie ataefahamu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom