Chadema Wanalipwa posho ya 30,000 Igunga!

John Marwa

JF-Expert Member
May 25, 2011
275
28
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!
 
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!<br />
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili TUWE WAKWELI. SH 30000 NA CHUMBA UMESEMA NI 15000 CHA BEI YA JUU MBONA KUNA ELFU 15000 INABAKI? IGUNGA HAINA CHAKULA CHA ELFU TANO NA ZAIDI. SO, HELA INATOSHA SANA KAMA MTU HAYUKO KIMASLAHI BINAFSI. KAMA UKO KIBIASHARA KAKA TUACHIE CHAMA CHETU. KINA NYERERE NA WAZEE WENZIE WALISHINDA NJAA KUTAFUTA UKOMBOZI WEWE UNATAKA KUKIFANYA CHAMA MTAJI. BADILHKENI. NA NDIYO MAANA NCHI HAIENDI KWA SABABU YA WATU WENYE TAMAA KAMA WEWE. HIYO HELA NI NYINGI SANA KAMA CHUMBA CHA BEI YA JUU NI FIFTEEN THOUSANDS ONLY. BADILIKENI.
 
Siasa ni kujitolea kama unaona posho hiyo haitoshi tukikupeleka bungeni utadai posho yako iongezwe kama Shibuda. hata hivyo tunahitaji timu imara iliyoko mstari wa mbele tafadhali Katibu Mkuu liangalie hilo tusije kuja kulia jioni
 
Magamba washaanza kuwanyemelea nini? 7b wanaeza toa donge nono kweli alimladi waachiwe jimbo
 
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!

Chadema itajengwa na watu wenye mioyo ya uzalendo wala sikwa posho, tunaamini wapo wengi wenye mioyo hiyo ila mengine yanayoibuka ama yatakayoibuka hayataturudisha *nyuma kamwe. tunasimamia ukweli na tutaendelea kusimamia ukweli. hizi ni propaganda cha ccm zenye lengo la kuwagawa wanachadema.
 
Bwana acha uongo, lgunga unapata chumba hata kwa sh 10,000/=!
Kwa muda huu tunainvest kwa hiyo kila saving inasaidia kuikomboa nchi yetu, bila moyo wa kizalendo CDM hapakufai; najua unajicompare na wa Magamba wanaomwaga pesa zilizostahili kununua vitanda kwenye ward za kina mama wajawazito!

Ndugu yangu umekubali kujitolea kuanzia mwanzo kaza buti; tuko nyuma yako!
 
Acheni kabisa hayo mambo kuna vitu muhimu sana katika kujenga chama na nchi kwa ujumla na ndiyo maana kuna watu hujitolea kwa hali na mali na sidhani kama tunaweza kushindana na magamba kulipana posho na ni hivi kuna watu tuko tayari hata bure tukaishi kwa gharama zetu kwa ajili ya kujenga chama tatizo ni nafasi zinakosekana za kwenda huko.

NB: Kama watu wenye kiwango cha chini cha uzalendo ndiyo mliowapeleka huko na ndiyo mnategemea iwe timu ya kuleta ushindi wameshaanza kulia njaa kuna uwezekano mkubwa wa kununuliwa na tukapata hasara kama vipi tafuteni watu wenye moyo ambao wanaweza kupambana na hali halisi na hao muwarudishe wafanye kazi nyingine makao makuu vinginevyo tutalia.
 
Mbona wengine mnawalipa posho za kupendeza na mnataka wengine wajitolee? Kama si matabaka basi ni nini? Si wangejitolea wa makao kwanza
 
Hao wapo kimaslah binafsi. Wajaribu kuhamia CCM, kuna maslah mazur zaidi.
 
Duh!hyo 30,000 ningeipata mm ningeshukuru,kwnz gest za nn?mnatakiwa kukesha uck na mchn ushnd upatikane!acha tamaa,unaonekana wewe pesa inaweza kukusababisha uwasaliti wenzako!
 
n
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!

Twende mbele turudi nyuma kama hujitolei hizo elfu 30,000.00 hazitoshi hata kidogo. Vipi mkuu wakubwa wao wanalipwa kiasi gani manake isije ikawa wadogo wanajitolea lakini wakubwa hawajitolei na wakijitolea baadaye wanakuja kubadili kujitolea kwao na kuwa deni na kuanza kukidai chama baada ya ruzuku kupokelewa chamani.
 
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!

30k inatosha kwa igunga hasa kwa sababu gharama nyingine za campaign ziko footed na CDM. a spirit of sacrifice is required even in Igunga politics like it was in other constituents.
 
Wanaokitafutia chama ushindi wananyonywa!
Wakubwa zao wanatumbua tu ruzuku kwa raha zao!
Hiyo ndiyo Chadema..chama cha wenyenazo! Maskini hamna chenu.
 
Chadema inatakiwa kuwa na maofisa wachache sana wa full time walipwe lakini wengine kama mimi na wewe tuijenge Chadema kwa kila aina ya uwezo wetu tulio nao .Kama mtu hana kipato anategemea Chadema this will be hard maana hakuna pesa hizo .Aende CCM wanazo sisi Chadema hakuna na tunataka watu wajue kwamba Chadema si kijiwe cha kuganga njaa ni kazi pekee pale .Posho ya 30,000 kijini ni kubwa sana sana siamini kama Igunga iko kama Nyamagana kwa mfano.Jamani isaidieni Chadema .
 
Posho ya 30k kwa siku ni sawa na kipato cha siku cha graduate kwenye makampuni yanayolipa vizuri hapa Tanzania maana hii ni kama 900k kwa mwezi.

Siamini hawa wanalalmika na tena wapo kijijini ambako matumizi yako chin!

Hli nadhani ni mbinu za maga,ba kuwatega cdm waingie mkenge kwenye issue ya posho ili kufifisha jitihada za kupinga posho zisizo halali.

CDM please watch out magamba in action!
 
John Marwa, Rejao, na yule dada lao moja. nanihhiiii wa MAGAMBA
 
Back
Top Bottom