dhahabuinang'aa
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 134
- 28
Kueni macho na hawa magamba.
Feedback,
mimi nyumbani mbona mbwa wangu watatu wote napiga mswaki kila siku.
Hizi hoja wewe lazima uzione hazina mashiko sababu CDM wameishakupa upofu ujitambui tena, akili imefunikwa na blanket jeusi umekuwa mateka wa Mbowe!
Lakini raia wa Tanzania wapenda amani na haki hizi hoja zina mashiko
Kumbe siku hizi ni nyingi kiasi hicho, maana najua wakati ule kabla ya uchaguzi mkuu psho ilikuwa 15000 na makamanda walipiga mzigo kwa moyo mmoja hadi ccm ikaweweseka Busanda ilishindwa Tarime na B'mulo ikalazimisha kwa wizi itakuwaje kama posho imekuwa mara mbili, ccm mnalwoKumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!

Thibitisha kwani kama sio wito wasingepigania kuondoa posho huku magamba wakipigania posho iongezwe

Wanaokitafutia chama ushindi wananyonywa!

Wakubwa zao wanatumbua tu ruzuku kwa raha zao!

Hiyo ndiyo Chadema..chama cha wenyenazo! Maskini hamna chenu.
Hapa umeleta hii takataka ya nini?Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!