CHADEMA wana kazi kubwa ya kuwapata Katibu Mkuu na Mgombea Urais 2020

Hapa ndo ninapochoka na wewe na kukuona kwamba unalipwa kwa utumbo huu unaoufanya
Nilitegemea sa hvi uwe busy kukishauri chama chako na serikali yake sasa upo busy na CDM
CCM ni chama dola. Kila uchaguzi ukifika tunashinda. Tunajibadii kama kinyonga kuendana na hali na mazingira. Hamkutaraji kama Magufuli atakuwa Rais Bora kuwahi kutokea hapa Tanzania. Mnaisoma namba
 
Tena ujiheshimu, hunijui sikujui, niisome namba kwa lipi?
Nakula vizuri, nalala vizuri, naishi vizuri na naburuza matako mjini kwa ka BMW X3 kangu
Na kananitosha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wanaisoma namba mliowagaia tshirt na kofia za kijani
Na kuwagaia elf 10, 10 wajaze mikutano yenu
Kamuulize Salvaliiiii Rweyemamuuuuuuuu namba inasomwaje
 
Hivi hua unakisoma unacho andika
Msamiati wa kuisoma namba
Unakua una maanisha nini?? Au kukosa hoja

Au wapinzania wanaisoma namba kwa CCM kuzibiwa ulaji??
Nani asojua ushiriki wa CCM kuua viwanda. Au kukwepa kodi?? Na magufuli anasema walioua viwanda wengine ni viongozi Wa CCM chama chake kwanini asisema Walioua viwanda wengine ni Viongozi wa upinzania ambao wanatukosoa

Nchi hii haijawahi kuongozwa na UPINZANIA tangu dunia iumbwe
Sasa fikiri kwa makini huenda hukumaanisha ulichokiandika

Kama ni UFISADI CCM ndo MABINGWA WA UFISADI AFRIKA NA DUNIA INALIJUA NDOMANA pesa za MCC hazikuletwa
 
CCM ni chama dola. Kila uchaguzi ukifika tunashinda. Tunajibadii kama kinyonga kuendana na hali na mazingira. Hamkutaraji kama Magufuli atakuwa Rais Bora kuwahi kutokea hapa Tanzania. Mnaisoma namba
Wewe ndio kunguru kweli! Siku 50 ndani ya miaka mitano yaani siku 1825 tayari umemuona kuwa atakuwa Rais bora? Huo ni ujinga mkubwa sana. Au wewe unadhani kufukuza watu kazi kwa mkupuo ndio kuongoza nchi kwa mafanikio? Kumbuka siku 100 za JK mlisema nini? Mlisema huyo ni chaguo la Mungu, mara Nyerere karudi lakini imekuwaje? Leo mnaona aibu hata kutaja jina lake na mpaka mnatafuta mbinu za kumuondoa kwenye uenyekiti wake kabla ya muda.
Mafanikio ya nchi ni maendeleo sio kutumbua majipu. Leo hii bado hakuna dalili za fedha yetu kuwa stable dhidi ya dola, bei za vyakula hazina mabadiliko na zingine zinapanda, hakujaonekana huduma za afya zikiwa zina mkakati wa kuboreshwa au tuseme tuu kuwa serikali haijaja na mkakati mpya wa kukabiliana na umasikini wa nchi zaidi ya kuwagangamalia waganga wa jadi, kufunga geti za maofisini, kufukuzana makazini kwa watendaji wezi (na kuacha wanasiasa) na mengine kma hayo.
Huo ubora mnaousema uko wapi sasa? Mwacheni afanye kazi yake tuje tumpime. Pia acheni na Bunge nalo liingie kazini na kuanza kuhoji serikali pale penye mapungufu kisha tui judge serikali uwezo wake.
Vinginevyo ufanyalo @Lizaboni na wenzako ni sawa na kukata mauno kabla ya tendo la ndoa.
 
Hhahahahahaahah...eti lowasa alipigwa kirahisi....Gossshhhh...40% hakuna opposition candidate aliwahi kuifikisha

Kutoshinda kwa Lowasa ni kwa sababu ya katiba Mbovu ya Tanzania....Hata ninyi CCM mnajua

Baada ya miaka miwili mtakuja kuniambia

2020 ndio mwisho wa CCM

Magufuli ilikuwa karata yao ya mwisho
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri kwamba Uchaguzi Mkuu wa 2015 umemalizika. Kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa 2015 kunatoa fursa kwa vyama vya siasa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao.

Mpaka sasa, ni chama cha Mapinduzi pekee ndicho hakina ombwe la Uongozi. Labda wanafuatia ACT. Ila kwa CHADEMA na CUF wao wana shughuli pevu ya kujaza mapengo yaliyoachwa wazi kutokana na viongozi wake wakuu kuachia ngazi baada ya kubakwa kwa mfumo wa kumpata mgombea Urais kupitia UKAWA.

Hata hivyo, CHADEMA wana kazi kubwa mbili mbele yao. Kwanza kumpata Katibu Mkuu ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi baada ya Dk Slaa kujiuzulu mwishoni mwa mwezi Julai 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, nafasi hiyo ilipaswa kujazwa ndani ya siku tisini. Hata hivyo mpaka sasa, nafasi hiyo ipo wazi na taarifa zilizopo ni kwamba CHADEMA wamekosa mtu mwenye sifa za kukaribia sifa za Dr Slaa. Kutokana na kukosa mtu ndani ya CHADEMA, chama hicho kikawa na wazo la kumteua Frederick Sumaye kushika nafasi hiyo. Hata hivyo, mapendekezo hayo yanakataliwa na baadhi ya Mahafidhina.

Kazi ya pili ni ya kumpata Mgombea Urais. Ni dhahiri kwamba Edward Lowasa hatakuwa mgombea Urais wa CHADEMA kwa mwaka 2020. Kwani mpaka sasa, imedhihiri kuwa mwanasiasa huyo ameshapoteza mvuto na mwelekeo. Ndani ya CHADEMA mpaka sasa hakuna figure hata moja ya kuivusha CHADEMA 2020. Jicho lao limeangaza tena kwa Sumaye. Hata hivyo, bado hali ni tete kwani Sumaye hana umaarufu wa kumzidi Lowasa. Hivyo kama Lowasa alipigwa kirahisi na Magufuli, sijui kwa Sumaye hali itakuwaje.

Pupa, ulafi na tamaa ya Mbowe ndiyo imewafikisha hapa CHADEMA.
waende CCM wakakodishe jembe moja kati ya majembe mengi yaliyopo.
 
Fisi wa Lumumba usiku wakilala wanaiwaza CHADEMA.
Hasa mleta mada. Huyu ni kumtafutia kada mmoja wa Chadema ambaye hajaoa na kumuozesha huyu mtu ili kila akishtuka usiku anaiona njemba ya Chadema inakoroma pembeni yake na roho yake inasuuzika, kisha hapa JF tutapumzika na madudu ya aina hii na kupata muda wa mijadala yenye tija.
 
Ni kweli Mkuu. Wapinzani wana kazi kuhwa ya kujipanga. Jinsi Magufuli anavyotekeleza majukumu yake hawakudhani kama angefanya hivi. Amerejesha matumaini ya waliokata tamaa na CCM

Hakuna chochote ni maigizo tu

Nani hajui maamuzi ya hovyo ya magufuli yalivyoiingiza serikali hasara mara nyingi

Ni wajinga tu mnaodhani magufuli is anything special

Tupo hapa hapa...Tuombe Uzima
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri kwamba Uchaguzi Mkuu wa 2015 umemalizika. Kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa 2015 kunatoa fursa kwa vyama vya siasa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao.

Mpaka sasa, ni chama cha Mapinduzi pekee ndicho hakina ombwe la Uongozi. Labda wanafuatia ACT. Ila kwa CHADEMA na CUF wao wana shughuli pevu ya kujaza mapengo yaliyoachwa wazi kutokana na viongozi wake wakuu kuachia ngazi baada ya kubakwa kwa mfumo wa kumpata mgombea Urais kupitia UKAWA.

Hata hivyo, CHADEMA wana kazi kubwa mbili mbele yao. Kwanza kumpata Katibu Mkuu ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi baada ya Dk Slaa kujiuzulu mwishoni mwa mwezi Julai 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, nafasi hiyo ilipaswa kujazwa ndani ya siku tisini. Hata hivyo mpaka sasa, nafasi hiyo ipo wazi na taarifa zilizopo ni kwamba CHADEMA wamekosa mtu mwenye sifa za kukaribia sifa za Dr Slaa. Kutokana na kukosa mtu ndani ya CHADEMA, chama hicho kikawa na wazo la kumteua Frederick Sumaye kushika nafasi hiyo. Hata hivyo, mapendekezo hayo yanakataliwa na baadhi ya Mahafidhina.

Kazi ya pili ni ya kumpata Mgombea Urais. Ni dhahiri kwamba Edward Lowasa hatakuwa mgombea Urais wa CHADEMA kwa mwaka 2020. Kwani mpaka sasa, imedhihiri kuwa mwanasiasa huyo ameshapoteza mvuto na mwelekeo. Ndani ya CHADEMA mpaka sasa hakuna figure hata moja ya kuivusha CHADEMA 2020. Jicho lao limeangaza tena kwa Sumaye. Hata hivyo, bado hali ni tete kwani Sumaye hana umaarufu wa kumzidi Lowasa. Hivyo kama Lowasa alipigwa kirahisi na Magufuli, sijui kwa Sumaye hali itakuwaje.

Pupa, ulafi na tamaa ya Mbowe ndiyo imewafikisha hapa CHADEMA.
Chadema na wanachama wake hawapendi kuambiwa ukweli na hata wakiambiwa hawaukubali wanabaki kutoa matusi na kashfa tu......binafsi nilikuwa mfuasi mzuri wa CHADEMA lakini ujio wa Lowassa ulinikimbiza nimebaki bila chama......na Chadema hii chini ya Mbowe siwezi kuiamini tena.....walikuwa na lengo baya na nchi yetu!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri kwamba Uchaguzi Mkuu wa 2015 umemalizika. Kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa 2015 kunatoa fursa kwa vyama vya siasa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao.

Mpaka sasa, ni chama cha Mapinduzi pekee ndicho hakina ombwe la Uongozi. Labda wanafuatia ACT. Ila kwa CHADEMA na CUF wao wana shughuli pevu ya kujaza mapengo yaliyoachwa wazi kutokana na viongozi wake wakuu kuachia ngazi baada ya kubakwa kwa mfumo wa kumpata mgombea Urais kupitia UKAWA.

Hata hivyo, CHADEMA wana kazi kubwa mbili mbele yao. Kwanza kumpata Katibu Mkuu ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi baada ya Dk Slaa kujiuzulu mwishoni mwa mwezi Julai 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, nafasi hiyo ilipaswa kujazwa ndani ya siku tisini. Hata hivyo mpaka sasa, nafasi hiyo ipo wazi na taarifa zilizopo ni kwamba CHADEMA wamekosa mtu mwenye sifa za kukaribia sifa za Dr Slaa. Kutokana na kukosa mtu ndani ya CHADEMA, chama hicho kikawa na wazo la kumteua Frederick Sumaye kushika nafasi hiyo. Hata hivyo, mapendekezo hayo yanakataliwa na baadhi ya Mahafidhina.

Kazi ya pili ni ya kumpata Mgombea Urais. Ni dhahiri kwamba Edward Lowasa hatakuwa mgombea Urais wa CHADEMA kwa mwaka 2020. Kwani mpaka sasa, imedhihiri kuwa mwanasiasa huyo ameshapoteza mvuto na mwelekeo. Ndani ya CHADEMA mpaka sasa hakuna figure hata moja ya kuivusha CHADEMA 2020. Jicho lao limeangaza tena kwa Sumaye. Hata hivyo, bado hali ni tete kwani Sumaye hana umaarufu wa kumzidi Lowasa. Hivyo kama Lowasa alipigwa kirahisi na Magufuli, sijui kwa Sumaye hali itakuwaje.

Pupa, ulafi na tamaa ya Mbowe ndiyo imewafikisha hapa CHADEMA.

Kazi gani ndugu? Watu wote waliopo
 
Zamani nilidhani wewe makonda ila speed ya JPM naamini huwezi kuwa mmoja wao maana muda mchafu huu kwa kuandika urojo sijui unautoa wapi
 
Tena ujiheshimu, hunijui sikujui, niisome namba kwa lipi?
Nakula vizuri, nalala vizuri, naishi vizuri na naburuza matako mjini kwa ka BMW X3 kangu
Na kananitosha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wanaisoma namba mliowagaia tshirt na kofia za kijani
Na kuwagaia elf 10, 10 wajaze mikutano yenu
Kamuulize Salvaliiiii Rweyemamuuuuuuuu namba inasomwaje
Salva analewa Tu Uhuru peak kama Hana akili nzuri
 
kwanini unapenda kuwaongelea chadema mmno, waache na mambo yao, nenda mtindo wa ccm, kwa sasa achana na chadema, unaonyesha una chuki sana!!

Chadema ni chama chako upinzani cha kitaifa, kila mtanzania ni haki yake kukizingumzia/kukisifu/kukikosoa na kukishauri bila hata ya kuwa mwanachama.

Anyepinga kuwa asiye mwanachama hana haki ya kukizungumzia, basi hajui siasa
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri kwamba Uchaguzi Mkuu wa 2015 umemalizika. Kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa 2015 kunatoa fursa kwa vyama vya siasa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao.

Mpaka sasa, ni chama cha Mapinduzi pekee ndicho hakina ombwe la Uongozi. Labda wanafuatia ACT. Ila kwa CHADEMA na CUF wao wana shughuli pevu ya kujaza mapengo yaliyoachwa wazi kutokana na viongozi wake wakuu kuachia ngazi baada ya kubakwa kwa mfumo wa kumpata mgombea Urais kupitia UKAWA.

Hata hivyo, CHADEMA wana kazi kubwa mbili mbele yao. Kwanza kumpata Katibu Mkuu ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi baada ya Dk Slaa kujiuzulu mwishoni mwa mwezi Julai 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, nafasi hiyo ilipaswa kujazwa ndani ya siku tisini. Hata hivyo mpaka sasa, nafasi hiyo ipo wazi na taarifa zilizopo ni kwamba CHADEMA wamekosa mtu mwenye sifa za kukaribia sifa za Dr Slaa. Kutokana na kukosa mtu ndani ya CHADEMA, chama hicho kikawa na wazo la kumteua Frederick Sumaye kushika nafasi hiyo. Hata hivyo, mapendekezo hayo yanakataliwa na baadhi ya Mahafidhina.

Kazi ya pili ni ya kumpata Mgombea Urais. Ni dhahiri kwamba Edward Lowasa hatakuwa mgombea Urais wa CHADEMA kwa mwaka 2020. Kwani mpaka sasa, imedhihiri kuwa mwanasiasa huyo ameshapoteza mvuto na mwelekeo. Ndani ya CHADEMA mpaka sasa hakuna figure hata moja ya kuivusha CHADEMA 2020. Jicho lao limeangaza tena kwa Sumaye. Hata hivyo, bado hali ni tete kwani Sumaye hana umaarufu wa kumzidi Lowasa. Hivyo kama Lowasa alipigwa kirahisi na Magufuli, sijui kwa Sumaye hali itakuwaje.

Pupa, ulafi na tamaa ya Mbowe ndiyo imewafikisha hapa CHADEMA.
Ndoto njema
 
Na bado kuna mijitu itakuja hapa kutetea ujinga utadhani akili zao zina kideri cha bata. Nchi yeyote inahitaji upinzani ulio imara na sio huu wa akina mbowe kuangalia wanapata nini kuneemesha mifuko yao.

Inachekesha eti CCM wanatamani upinzani imara. Sasa mabao ya mkono ya nini? Mbona hamtaki hata wakutane kusalimiana? Yanatoka rohoni kweli?
 
Ni kweli Mkuu. Wapinzani wana kazi kuhwa ya kujipanga. Jinsi Magufuli anavyotekeleza majukumu yake hawakudhani kama angefanya hivi. Amerejesha matumaini ya waliokata tamaa na CCM
Mkwele nae aliitwa tumaini lililorejea. Wahenga walisema usishangilie mawingu, shangilia mvua
 
Back
Top Bottom