Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

Mishahara haitoshi? Hivi ushajiuliza wa Tanzania wangapi wanalipa kodi ipasavyo? Sasa chukuwa kodi inayolipwa kwa sasa halafu igawe kwenye hiyo mishahara uitakayo halafu uone zinabaki kiasi gani za kuliendesha taifa.

Nna uhakika njia mbadala zinazobuniwa na Serikali, kama vituo vya veta, kilimo kwanza, kuhamasisha ujasiriamali ndiko suluhisho la mishahara midogo.

Hivi hata ukiingia mitaani ndio mshahara utapanda? Unaweza ukapandishiwa mshahara wa kiini macho, yaani mshahara upande na thamani ya fedha ishuke sana na iwe afadhali ya huo mshahara mdogo kuliko kuwa na mipesa mingi isiyo na faida.

Hivi leo tunaona jitihada za Serikali kwa kuanzisha benki za wakulima, mortgage, pembejeo, mabara-bara, mashule, veta na kadhalika. Mambo hayo yote yanalenga kustimulate uchumi, na ndio njia ya kukuza kipato.

Usijidanganye kuwa kuingia mitaani ndio suluhisho, hasara zake ni kubwa kuliko unavyofikiria.

mapimbi kama nyie ndio mmetufikisha hapa tulipo, yani mijitu mingine mipuuzi sana inakula mlo mmoja kwa siku na inaona sawa tu

very stupid indeed... eti "tunaona jitihada za serikali" jitihada gani ulizoona wewe? hizo ruzuku za kilimo kwanza unajua wamepewa watu gani? kama hujui hata ni kwa nini we ni maskini wa kutupwa kaa pembeni tutakusaidia kudai haki yako,, mnatia hasira sana au mnafaidika na hawa wapuuzi mnakua hata hamuoni mateso ya ndugu zenu?
 
Huo umma unaousema wewe ndio kwa asilimia kubwa waliichaguwa simu kuendelea kuwaongoza, toka ngazi za udiwani mpaka wabunge, mpaka Rais.

Hebu nambie, madiwani na wabunge Tanzania wepi ni wengi? Jibu utalopata basi ujuwe bado mna kazi ya kufanya. Na hao wachache wanaowaunga mkono mtawakosa kabisa kwa siasa zenu zenu za uchokozi na uvunjifu wa amani. Na kama hamuijuwi peoples power ya kweli basi ngojeni siku wapenda amani tutapocharuka na kuwavamia mitaani, hapo ndio mtajuwa maana ya "peoples power".
CUF bwana wivu tuu!
 
We maji mshindo ukishiba wewe hukumbuki wengine hivi huoni maisha yalivyo magumu?!!!!!!!!!!!!!!! Huoni hata maandamano yamesababisha serikali imetangaza kushusha bei ya sukari?
Usilete unafiki kwa mambo mazito!
 
Kuna mema gani sasa Tanzania? Unaona bidhaa zilivyo panda bei na maisha yalivyo magumu wakati huyo mwizi wa kura yupo kwenye ndege nje ya nchi kutatua matatizo ya uongo huko Ivory Coast. Uache kuwa na maneno yasio na nyuma wala mbele. Nyie ndio mme fanya mama yangu na baba yangu kuendelea kupata shida. Unafikiri mimi nipo kusubiri ufisadi unimalize kama wewe....upotofu wa hali juu kukaa nyumbani na kufikiria Tanzania kuna "mema" na "amani" wakati wananchi hawana vyakula wala kazi. Unataka watanzania waishi vipi? Tuanze kuwa refegees Somalia au Ethiopia (AU)?

Tena Mimi ningemshangaa Sana Bagbo kama ataweza msikiliza huyo JK nafikiri swali la kwanza atamuuliza hivi wewe unataka nitoke angali nawe uliiba Kura na bado upo madarakani siutoke kwanza wewe namimi nifuate nyayo zako, huyo alienda kule kula Posho ya waafrica lakini hana lolote jpya la kumweleza Bagbo. Kule wanatakiwa watu safi ndo waende kuongea na Bagbo.

JK Utatoka TZ kwa nguvu ya Umma pamoja na sisiem yako!

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ifikie kipindi Watanzania waelewe kuwa 'peace is more than the absence of war'
Tusidanganywe na amani na hali kuna njaa na umasikini wa kutupwa nchini huku hao wanaosema 'amani' wanakula keki ya Taifa wao na familia zao tuu.
 
kama viongozi wenyewe wa ccm ndo ninyi aaah basi ccm imekwisha kabisaa!
YAANI CCM BURE BURE KABISAAA! Mwenyekiti aibadilishe ccm toka juu ikiwemo na yeye.
Ha ha haaa unataka akate tawi alilokalia.
 
Hakuna kingozi aliekaa madarakani Tanzania kwa miaka hamsini. Maximum ni miaka kumi na ni kwa ridhaa ya wananchi.

Chadema, si wajipange na kuchukuwa madaraka kihalali kwa kupigiwa kura na asilimia kubwa ya wananchi?

Nani aliekaa madarakani Tanzania muda mrefu zaidi ya Nyerere? Nae alileta maendeleo yepi zaidi ya kutufanya masikini wa kutupwa?

yani tuendelee kusubiri mpaka siku mtayochoka kuchakachua,hiyo ngumu!!!!!!!!!!!!uvumilivu huo unaelekea kutuisha
Panua fikira zakop kidogo tu,maisha yangekuwa mazuri bei zipo chini,na hakuna mfumuko wa bei,watanzania tungefikiria haya yote
akili kichwanimwako
 
Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.

Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.

Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?

Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.

Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.

Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.

I believe it is ridiculous to say that Tanzania is very peaceful while more than 70% of its people are starving
 
japo wanaashiria uvunjifu wa amani...serikali nayo iangalie madai kama ni ya msingi.....!

Hivi ni amani ipi hii tunayoongelea? Amani ya kutokuwepo na risasi zikirindima barabarani au kukosa Amani kwa kuwalaza watoto wako na njaa kwenye giza tororo??? Peace starts within. Tupe Haki na Amani itafuata tu. Tupe maisha bora, tupe umeme, na bei zinazofanania na sisi na Amani itakuwepo. Na ukitunyima haki yetu ya msingi wakti wewe umejifungia kwenye shangingi lako na viyoyozi kamwe usitegemee amani kutoka kwangu. Kwa makusudi kabisa tutahakikisha haitakuwepo ili na wwe uonje joto la jiwe!
 
Hakuna kingozi aliekaa madarakani Tanzania kwa miaka hamsini. Maximum ni miaka kumi na ni kwa ridhaa ya wananchi.

Chadema, si wajipange na kuchukuwa madaraka kihalali kwa kupigiwa kura na asilimia kubwa ya wananchi?

Nani aliekaa madarakani Tanzania muda mrefu zaidi ya Nyerere? Nae alileta maendeleo yepi zaidi ya kutufanya masikini wa kutupwa?

CCM wamekaa madarakani miaka mingapi?...na ni mbinu gani wanatumia kung'ang'ania madaraka?
Wewe unafikiri kila mtu ni mjina kama wewe sio?..Unasema Nyerere amewafanya Watanzania masikini wa kutupwa..una uwezo wa kusupport hoja yako au unaropoka tu kwa sababu ulimsikia babu yako zamani akisema hivyo?

Niambie baada ya Nyerere serikali ya CCM imewekeza nn Tanzania kama si kufilisi viwanda na taasisi zote za umma zilizojengwa na Mwalimu!
Ukiangalia mitambo yote ya kuzalisha umeme ilijengwa wakati wa mwalimu...Mashirika ya usafirishaji, viwanda vya kila namna, scheme za umwagiliaji nk..leo unasema Nyerere alileta umasikini!...Mwalimu alichofanya ni kuweka misingi ya maendeleo kuanzia na kuwapa watu wake elimu, kujenga uzalendo na mshikamano, kuleta juhudi kazini, kuhifadhi rasilimali za nchi kwa ajili ya maendeleo pale watu wake watakapokuwa na utaalamu wa kuexploit rasilimali hizo kwa maendeleo yao...pamoja na kuleta uwiano mzuri wa kipato kama njia kuu ya kutunza amani nk..Kwa taarifa yako tungepata kiongozi wa aina ya Nyerere wakati huu ambao tunao wasomi na wataalamu wetu, rasilimali zetu zisingechezewa kama ilivyo sasa. Takwimu zinaonyesha umasikini wa Elimu na kipato umekua mara dufu ukilinganisha na enzi za mwalimu.

Leo CCM ya Mafisadi unayoitetea imeyaharibu haya yote niliyoyataja na mengine mengi. Badala ya amani, mshikamano na usawa, CCM wamepandikiza udini, Ufisadi, wanajaribu pia kuchochea ukanda na ukabila...wanawakandamiza walalahoi na kunyonya wafanyakazi wake. Imefikia sasa wafanyakazi serikalini hakuna anayefanya kazi kwa bidii na kujituma, wanachofikiria ni wapi wataiba kufidia pengo la kipato..na kwa sababu hakuna uwajibikaji kwa viongozi, sasa kila mtu anakufa lwake.

Yaani leo kweli anasimama mtanzania anamlinganisha Al Adawi na Nyerere! tena anasema Al Adawi ni mwema kuliko Nyerere!!??
Astakafirulah!
 
Agenda kuu ya maandamano ya Mwanza ilikuwa ipi hasa? Maandamano haya yamefanikisha lipi? Lipi tujifunze kutokana na maandamano haya ili tuyapokee na kuyaeneza NCHI NZIMA? Maandamano haya ni mbadala wa OPERESHENI SANGARA?
 
Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.

Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.

Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?

Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.

Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.

Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Huna jipya, tumekuwa wapole sana sasa tumechoka.
 
Ifikie kipindi Watanzania waelewe kuwa 'peace is more than the absence of war'
Tusidanganywe na amani na hali kuna njaa na umasikini wa kutupwa nchini huku hao wanaosema 'amani' wanakula keki ya Taifa wao na familia zao tuu.

Fanya kazi kwa bidii na maarifa , acha kupenda vya bure bure utaolewa mjini hapa na upate hivyo vya bure
 
Mishahara haitoshi? Hivi ushajiuliza wa Tanzania wangapi wanalipa kodi ipasavyo? Sasa chukuwa kodi inayolipwa kwa sasa halafu igawe kwenye hiyo mishahara uitakayo halafu uone zinabaki kiasi gani za kuliendesha taifa.

Nna uhakika njia mbadala zinazobuniwa na Serikali, kama vituo vya veta, kilimo kwanza, kuhamasisha ujasiriamali ndiko suluhisho la mishahara midogo.

Hivi hata ukiingia mitaani ndio mshahara utapanda? Unaweza ukapandishiwa mshahara wa kiini macho, yaani mshahara upande na thamani ya fedha ishuke sana na iwe afadhali ya huo mshahara mdogo kuliko kuwa na mipesa mingi isiyo na faida.

Hivi leo tunaona jitihada za Serikali kwa kuanzisha benki za wakulima, mortgage, pembejeo, mabara-bara, mashule, veta na kadhalika. Mambo hayo yote yanalenga kustimulate uchumi, na ndio njia ya kukuza kipato.

Usijidanganye kuwa kuingia mitaani ndio suluhisho, hasara zake ni kubwa kuliko unavyofikiria.

we Majimshindo!!!!!!!!!!!!Acha ujinga ww nazani ni miongoni mwa mafisadi, nani mwenye wajibu wakukusanya kodi? na kama w haulipi kodi cc wengine tunalipa kodi kwa uadilifu mkubwa kwa hiyo tunataka kuona kodi zetu zinatumika vizur na unafuu wa maisha uonekane kwa watanzania wote co nyie wahujumu uchumi tu!
 
Tena Mimi ningemshangaa Sana Bagbo kama ataweza msikiliza huyo JK nafikiri swali la kwanza atamuuliza hivi wewe unataka nitoke angali nawe uliiba Kura na bado upo madarakani siutoke kwanza wewe namimi nifuate nyayo zako, huyo alienda kule kula Posho ya waafrica lakini hana lolote jpya la kumweleza Bagbo. Kule wanatakiwa watu safi ndo waende kuongea na Bagbo.

JK Utatoka TZ kwa nguvu ya Umma pamoja na sisiem yako!

Mungu Ibariki Tanzania

Nguvu ya umma ilikuwa uchaguzi uliopita, ambapo aliyependwa na wananchi ndio amepewa ridhaa ya kuwaongoza watanzania. Sifa ya Tanzania na Rais JK nje ni kubwa kuliko ujuavyo. Ww hujiulizi kuna marais zaidi ya 54 Africa, kwa nn wachaguliwe 6 tu na JK yumo ? hapo ndipo utajua jamaa ni mashine nyingine kuliko fikra zako
 
Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.

Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.

Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?

Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.

Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.

Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Kwani serikali ina ubavu gani wa kushindana na wananchi?Think before you put your rubbish comments!!unalodhania haliwezekani leo basi kesho litawezekana,Kazi yenu ni kuzungumzia UBAVU tu!You Damn ,Your Days are numbered!
 
Na kwa taarifa yako wameanza kutekeleza matakwa ya chadema sukari imeshuka bei wametoaagizo jana. harafu unauliza nini sasa?

Inavyoonekana, bila CHADEMA kuhamisisha, wasingetangaza bei mpya sukari. Kwa kilo ya sukari kuuzwa Sh, 1,700/=, bado ipo juu. Wapunguze zaidi.

Heko CHADEMA! Muendelee kuishinikiza Serikali isiyojali walalahoi wake kwani hakuna maisho bora pasipo CHADEMA.
 
Back
Top Bottom