Hakuna kitu hapo, na Rais akianza kutumia madaraka yake vibaya kwa mujibu wa katiba mtakwisha wote !
Anaelewa kuwa akianza kufanya hivyo atafukuzwa ikulu kama Mubarak, he knows more than you do mate!
Hakuna kitu hapo, na Rais akianza kutumia madaraka yake vibaya kwa mujibu wa katiba mtakwisha wote !
Nguvu ya umma ilikuwa uchaguzi uliopita, ambapo aliyependwa na wananchi ndio amepewa ridhaa ya kuwaongoza watanzania. Sifa ya Tanzania na Rais JK nje ni kubwa kuliko ujuavyo. Ww hujiulizi kuna marais zaidi ya 54 Africa, kwa nn wachaguliwe 6 tu na JK yumo ? hapo ndipo utajua jamaa ni mashine nyingine kuliko fikra zako
Kutoa autimutum kwa chama cha siasa ni jambo la kawaida mkuu!unahisi wamevunja sheria gani ya nchi?inawezekana wewe ukawa umechoka kabisa kufikri ndiyo maana unatoa hoja dhaifu!kapumzike mkuu!!Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.
Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.
Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?
Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.
Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Mabadiliko yakifanyika ndani ya siku tisa si lazima na impact ya mabadiliko hayo iwe in nine days.Kuna makaratasi ya kusainiwa nkHapa Chadema wame kurupuka na ndiyo maana mimi sikioni bado Chadema kama chama mbadala. Hiyo kauli ya "siku tisa" haionekani kama ili jadiliwa na uongozi wa chama. Inaelekea Mbowe alitoa kauli hiyo at the spur of the moment. Ndiyo hapo Chadema wanapo nipa wasi wasi. Mara nyingi wana achia hisia zichukue nafasi. Hisia wawaachie wananchi wap wafanye vitu kwa kupanga.
1. Siku tisa hazi toshi kuonyesha mafanikio ya sera fulani. Hata serikali ifute kodi hizo sasa hivi hatu wezi kuona unafuu baaada ya siku tisa tu. It's just not possible!
2. Chadema wame toa bluff ambayo they can not follow through. Mark my words baada ya siku tisa kita kacho tokea labda ni maendelezo ya maandamano tu.
3. Kabla hawaja tishia maandamano makubwa wapite kwanza nchi nzima na kuendelea kupata support ya wananchi. Inaelekea Chadema kina haraka sana. Sawa hali imekua mbaya zaidi ila kama chama cha siasa lazima wawe strategic.
Anyway pongezi kwa Chadema. Nadhani wakiendelea wata kuwa chombo kizuri cha kupressure serikali.
Akili zako ziko makalioni wewe!! Amani ishatoweshwa na jk na kundi lake siku nyingi tu mbona?Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.
Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.
Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?
Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.
Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Nguvu ya umma ilikuwa uchaguzi uliopita, ambapo aliyependwa na wananchi ndio amepewa ridhaa ya kuwaongoza watanzania. Sifa ya Tanzania na Rais JK nje ni kubwa kuliko ujuavyo. Ww hujiulizi kuna marais zaidi ya 54 Africa, kwa nn wachaguliwe 6 tu na JK yumo ? hapo ndipo utajua jamaa ni mashine nyingine kuliko fikra zako
Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.
Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.
Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?
Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.
Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.
In the absence of all the stuff you claimed kuwa wanavirukia ie umeme,sukari nk...There will always be consequences...Kwa mwenendo huo wananchi wanafanya kazi na bado wanalala njaa!CDM imekosa sera wanadakia matukio yanayojitokeza. DOWANS ilivyoibuka wamedakia-maandamano, umeme umepanda bei wanadakia-maandamano, sukari imepanda bei-tayari maandamano, Gongo la Mbota-maandamano..lingine likiibuka kesho utasiki maandamano. Wataandamana mpaka miguu itaingia ndani. Nendeni mkafanye kazi mtalala njaa...!!!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kitampa rais Kikwete siku tisa baada ya kumaliza mzunguko wake wa kwanza wa kuwahamasisha wananchi mikoani.
Rais Kikwete tunakwenda naye kwa stepu, tutawasha moto wa maandamano nchi nzima, tukimaliza tutaangalia kama atakuwa amechukua hatua. Tutampa siku tisa, alisema Mbowe na kushangiliwa.
Dk. Slaa aliyekuwa wa kwanza kuhutubia katika mkutano huo, alisisitiza sana msimamo wa chama hicho kumpa Rais Kikwete siku tisa za kuhakikisha anaondoa kodi kwenye maeneo yote yaliyosababisha bei za vyakula na bidhaa mbalimbali kupanda na kufanya maisha ya wananchi kuwa magumu.
My take: Is a 9-day strategy a coincidence, planned?, na je baada ya siku hizo tisa nini kitafuata. This is a serious note, wasiwasi wangu wasije kuwa wamekurupuka kusema siku tisa.
Ni bora serikali ikakaa kimya kuliko kuwachukulia hatua, hujui ugumu wa maisha ya Watanzania walio wengi kwa sasa.unaonekana unakula kiyoyoz sana. Please don't let them try this @home upepo wa mapinduzi umeanza, nitafurahi ukivumia TZ...sioni sababu ya kujibaraguza na amani wakati nyoyo zetu(tulio wengi) hazina amani.Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.