Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,215
Kwa majibu yako ya aina hii tayari upeo wa fikra zako ushaonekana. Mtanzania wa kweli anayeijua nchii hii na yanayoendelea sasa chini ya serikali ya CCM hawezi kutamka upupu kama huu. Ungekaa na kupumzika tuu maana huna la maana.Umasikini wako ni ufinyu wa mawazo na ubunifu ulionao.
Hivi ni nini kinakuzuia kuondoka kwenye umasikini?
Kama huna ubunifu hata aje Mbowe hatoweza kukutowa kwenye umasikini huo. Yeye mwenyewe kashindwa kuendeleza mali za ufisadi alizorithi kwa babake, mpaka tunasikia zinazuiliwa kwa madeni, sasa huyo anaeshindwa kuendeleza mali ya urithi kweli ataweza kukuendeleza wewe masikini? Unashangaza sana.