CHADEMA wamfungulia kesi Nape

Anasimama na Lissu Mahakamani pembeni kuna Prof.Safari au kuna kitu gani kwa upande wa Chadema ? Na hii ndiyo watanzania watajua kwamba Chadema wako serious sasa .Komesha kuropoka bila ushahidi .Marando am sure hatakosa hapa kuongoza kuutafuta ukweli .


du umenikumbusha juzi jpili kwenye star tv alipandwa na jazba akaanza kuropoka ooo lisu anadanganya aaaa kumbe yupo vile je mahakamani si ndio atakimbia nchi
 
Hivi Nape atawaleta au kuwataja hao watu/nchi wanayoipa CDM hela? Najaribu kufikiria udhibitisho wake utakavyokuwa coz hapa ni suala la nchi kwa nchi au taasisi na nchi. Ni serious issue but kwa hawa dhaifu wanaona simple tu kila mtu anapayuka awezavyo
 
Mdizi, my take ni kwamba ningependa hii kesi iendeshwe kwa wiki mbili tu iwe imekamilika.
 
Hapo Nape atafungwa mdomo kulopoka lopoka hili swala sasa lipo mahakamani
 
Kwani Nape akiamua kuanza kufikiri kwa kutumia kichwa, atakuwa amepoteza kitu gani!
 
Nape hamna lolote ila wao magamba wakitaka tuwape ushahid wa wapi wanapata fedha tutautoa.
 
tundu lisu,mabere marando prof safari & el maamri,dr.masumbuko lamwai,nimrod mkono
 
Chadema safi sana,mlichofanya ni kitu kizuri, kwa kujenga demokrasia yenye ustaarabu, hiyo itapunguza kwa kiasi fulani, hizo propaganda za kipuuzi, zenye lengo la kuchafuana kisiasa, na kama mahakama hiyo itakuwa na Judge aliiye fair, kama yule wa kesi ya Igunga, basi Nape kazi anayo!
 
CDM hawana mchezo kabisa, nao wampeleke Marando kwa kusema mtoto wa kigogo kaingiza mtqmbo feki wa message ili ngoma inoge kabisa.
 
Napenda sana haya mambo kwasababu yanafanya maisha yawe mapya kila siku. Kwenye nchi yenye matatizo kama hii, ni sinema za namna hii tu zinazoweza angalau kupunguza machungu ya maisha.

Tupo pamoja Radhia. Hakika tumekuwa watu wa kuchomekewa mauza uza kila siku, Katiba mpya watu wameipotezea, Ishu ya fao la kujitoa kwa mifuko ya jamii tumesahau, mauji yanayofanywa na polisi kimya kimya yanapotea, nategemea mpaka wiki ijayo tutakuwa tumesahau, migomo ya madaktari na walimu tumesahau zamani, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha imekuwa wimbo uliosahaulika! Tunahamia kwa malumbano ya Nnape na CDM, yanatija gani kwa taifa? Let say Nnape amekutwa na hatia, na akalipa hiyo 3bn, mlalahoi wa kule kwetu Ngadinda au Ndapata atanufaikaje?
 
Yaani mfa maji hakos kutapatapa, ukweli unauma, leo hii CDM Ina mwanasheria gani, au wanasubiri wakakope kutoka kwa CCM,
 
Back
Top Bottom